Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa mwanamke yeyote hata akiwa mke wa mtu
So tafuta hela na usitoshwe na story za vijiweni za wajinga kuwa mke wa mtu ni sumu.