Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Yani utafute hela ili ukatumie kwa wanawake? Ujinga kabsa huu kuwaza ngono tu.Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa mwanamke yeyote hata akiwa mke wa mtu
So tafuta hela na usitoshwe na story za vijiweni za wajinga kuwa mke wa mtu ni sumu.
HakikaYani utafute hela ili ukatumie kwa wanawake? Ujinga kabsa huu kuwaza ngono tu.
Tafuta hela jenga empire yako jenga familia yako.
Leo nimemuona shetani laivuuuHapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa mwanamke yeyote hata akiwa mke wa mtu
So tafuta hela na usitoshwe na story za vijiweni za wajinga kuwa mke wa mtu ni sumu.
WhyLeo nimemuona shetani laivuuu
Je ikiwa Una umeme mdogo hautaki Mme wako atafute umeme mzuri?Duuh! Nakukumbusha tu huo unaosema umeme mdogo kuna siku unaweza ukageuka upande wa pili hapo ndo utajua hujui.
Bila shaka hii kauli yako hautakuwa nayo tena na hata ukiwa nayo utaiongelea kwa siri sana ili wale wanaokufahamu wasisikie. Teh.
Tatizo umeme KE wengi mna umeme mdogoUsisahau mafuta ya nazi ya mnara 😹😹
HakikaMwanaume azinie na mwanamke Hana akili kabisa.
Energy haipatikani kwenye ngono
Tupige shoti umeme uzidi 😹Tatizo umeme KE wengi mna umeme mdogo
Ila mtani jamanii.Duuh! Nakukumbusha tu huo unaosema umeme mdogo kuna siku unaweza ukageuka upande wa pili hapo ndo utajua hujui.
Bila shaka hii kauli yako hautakuwa nayo tena na hata ukiwa nayo utaiongelea kwa siri sana ili wale wanaokufahamu wasisikie. Teh.
Duuh! Nakukumbusha tu huo unaosema umeme mdogo kuna siku unaweza ukageuka upande wa pili hapo ndo utajua hujui.
Bila shaka hii kauli yako hautakuwa nayo tena na hata ukiwa nayo utaiongelea kwa siri sana ili wale wanaokufahamu wasisikie. Teh.
Hakika Mkuu so unatushauri tufanyeje ambao wake zetu hawana umeme?We lala hovyo na wake za watu halafu usikilizie kama ndani ya miaka mitano utakuwa na hizo hela.
Hela ni energy Ina kanuni zke