Kabisa. Umeiweka vizuri sana hapaJapo nadhani mwanaume anaweza kumsaidia kwa vyovyote vile awezavyo mke au mpenzi wake. Ila sio kukubali kuwa surbodinate, kuna vitu vya kipuuzi sana, et mwanaume anaogopa kuachwa, ndo anafanyishwa vitu vya kishamba.
👊👊Ndio lengo la kupeana elimu ili hata ukiwa unafanya yako unajua una sababu zipi akilini na malengo gani kuelekea mipango ipi maishani.
Wewe tatizo umeshindwa kupotezea manzi aliyekufanyia uhuni ndo maana unaandika nyuzi za maombolezo zilizojaa visasi.Hakuna anaemshambulia mtu hapa. Tunakemea tabia ambayo ina madhara. Au unafurahia ukisikia kijana amejinyonga chuoni baada ya kumfumania demu wake.
Au kijana ameuza shamba la wazazi wake na mifugo kisha akatokomea kusikojulikana na demu wake, au ukiona mwanaume mwenzako anagongewa mkewe na anaishi kwa depression na anampatia mwanamke mahitaji yote, au ukiona mwanaume anatetea mwanamke abusive tu kwasababu anataka kuonekana ni shujaa wake.
Hivi vinakufurahisha kwa namna yoyote ile?
Au labda haujui maudhui ya hii kampeni ya tokomeza usimp inalenga kutokomeza tabia gani?🤔
Wewe kama unahela ukaamua kwenda kumpatia mwanamke kama sehemu ya charity movement yako au mbinu za uvuvi unaweza usione ni tatizo ila upande wa pili vipi huyo dada unaemrubuni umemuwazia hisia zake na muda wake, je kwann usitafute mwanamke mzuri atakae kukubali ufurahie maisha na umpe sasa hizo pesa kwa uhuru? Au kama unatafuta utelezi si wapo wale wadada wanaojiuza au wadangaji,piga hao mnaelewana unaweka pesa mezani unapiga unaendelea na ratiba zako. Si ndio?
Nadhani labda bado una struggle kuelewa maana halisi na matumizi ya neno Simping.
Wewe tatizo umeshindwa kupotezea manzi aliyekufanyia uhuni ndo maana unaandika nyuzi za maombolezo zilizojaa visasi.
Una chembechembe za usengenyaji. Karibu kila mwanaume ana kisa chake cha kumuumiza kwenye harakati za mapenzi ila wachache kama wewe ndo huwa mnaendeleea kulialia hovyo na kuwasema wenzenu.So una suggest kuwa nina deal na stress za mahusiano na sio na deal na maswala ya kijamii eneo la mahusiano?🤔
Umekurupuka toka huko na kinga yenye manii ikiwa bado ndani ya uchi wako unakuja kujibu hoja nzito kama hizi kwa miluzi ya kijambio chako?Embu jaribuni for a second, cancel women.
Don't talk about them, or to them. And anyone who deals with them dont talk about them.
You will have a new world with no women!
Just Alpha males roaming around with biceps, mnapishana tu barabarani mnatunishiana misuli, mrudi majumbani kwenu mpost jinsi ya kupata misuli mikubwa zaidi.
Repeat till death.
Oh msisahau kutafuta hela na kutununiana Hela.
Hadi raha, just a world full of happy rich men with the biggest biceps.
naam nlishaanza lifanyia kazi iloKama vipi jitenge na mfumo wao hao watu jenga mfumo wako kisirisiri uweke life lako lije kuwa tofauti.
Sasa wewe MamaSamia2025 Lisu tu unamuogopa vile hizi hoja zetu ndio utawezana kweli?Cha muhimu mleta uzi kuwa member mwaminifu wa CHAPUTA ili uondokane na shida ya wanawake. Haya maisha kila mtu ana namna yake ya kuyaishi.... pia kila mtu ana namna yake ya kupata papuchi ili mradi havunji sheria. Suala la mwanaume kupambania papuchi ni nature labda tu kama mtu ana matatizo binafsi hasa ya kiafya. Wewe kama kuna mwanamke alikutenda lipiza au samehe badala ya kuja kusimanga watu.
We na huyu mwamba ni 2 pac na Notorious Big... competition yenu ni kutoa mawe juu ya nawe daily mpaka ma simp wacheue shahawa..Naona hii wikiend ni ya kuwapa simp za uso. Mungu akitujalia uzima kesho nami nitaandika chochote kuhusu hawa masimp
Wewe nimeona umemjibu mtu matusi ya nguoni. Kinachokupa ujasiri ni hii ID feki? Ukikutana na unaowatukana uso kwa uso utachumishwa mchicha. Kuwa makini. Kama unajiamini nitumie namba yako ya simu PM ili tuonane.Sasa wewe MamaSamia2025 Lisu tu unamuogopa vile hizi hoja zetu ndio utawezana kweli?
Acha matusi.Umekurupuka toka huko na kinga yenye manii ikiwa bado ndani ya uchi wako unakuja kujibu hoja nzito kama hizi kwa miluzi ya kijambio chako?
UKo serious kweli au ulidhani mnazungumziwa single maza once again?
Hey you bit*ches just chill we are pushing harder to the end..
Wanaelimishwa masimp unakimbiza bikini hapa jukwaani kufanya nini sasa?
Blood siwezi kukuaminisha kuwa mimi ni namba hapa jukwaani.Wewe nimeona umemjibu mtu matusi ya nguoni. Kinachokupa ujasiri ni hii ID feki? Ukikutana na unaowatukana uso kwa uso utachumishwa mchicha. Kuwa makini. Kama unajiamini nitumie namba yako ya simu PM ili tuonane.
Cha muhimu acha matusi.Blood siwezi kukuaminisha kuwa mimi ni namba hapa jukwaani.
Ila tambua kuwa kuna namba tasa ambazo hazifai kamwe.
Acha siri zibaki kuwa siri..