Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Babu warudisheni jandoni vijana wako 😹
 
Hahaha..............poleni sana Mkuu


Ndiyo maana ili kuepuka hayo, mnatakiwa muoe mapema

Mimi nakumbuka nilioa nikiwa na miaka 24, kufika 26 tayari nina first born
 
Kwa vile hamna cha kupoteza
Umesema sahihi, wengi wa Umri wetu tulishamaliza kusomesha pamoja na kumaliza majukumu mengine yote

Ila Kwa Vijana, nawashauri Bora waoe mapema

Wapate familia wakiwa Vijana, hii itasaidia kupunguza Matumizi yasiyo ya lazima ya Fedha zao (kuhonga) pia itasaidia kupata watoto wakiwa na nguvu

Siku hizi Kuna tatizo la kupungua Kwa nguvu za kiume miongoni mwa Wanaume wengi

Kwahiyo ukioa mapema, kabla hujafika miaka 42 tayari ulishamaliza kuzaa na Mke wako
 
KATAA NDOA wame nipa cheo Cha u katibu mwenezi πŸ˜‚ πŸ˜‚
Vuka boda uende Kwa Chenge pale Bariadi, kaopoe binti mmoja wa kisukuma mrembo uanze naye maisha

Najua huwezi kukosa shilingi elfu 10 ya kumwachia ya kula Kila Siku

Wewe ukirudi kwenye utafutaji Jioni, unakuta amekuandalia Maji ya moto ya kuoga, na chakula Kipo mezani ili mle pamoja

Saa nne usiku mnavuka zenu mbingu na kwenda Dunia ya peke yenu mkitafuta watoto

Mkifikia miaka 40 mna watoto 4 na Uchumi imara πŸ‘Š
 
Saa 4 nakuwa busy sana, kiufupi hii routine labda baadae sana πŸ˜‚ 🀣
 
Unaweza ukamfanyia vyote hivyo na bado asikupe mkuu
 
Na kuhoga million 1.5 kila wiki? Hebu nipigie mahesabu kama vipi niache hii tabia
 
Njia zote zinafungwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: Lcb
Wadada watapatashida kwa tathmini za namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…