Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Mkuu ujue hiyo mentality imewaaribu sana wanawake, yan unakuta mtu anajiona yuko very powerful and anaweza kuland anything simply kwasababu ana coochie besides that hakuna sehemu mnakutana hapo kaka watabaki kutulaumu tu kwakweli, I am not going to spend my band's to a woman ambaye hawezi kuwa na input yeyote besides her coochie...Mnawazoesha wenyewe halafu mnawalalamikia.
Picha linaanza ukitaka kuoa mke unamnunua kwa mahari, jambo limekaa kiutamaduni kabisa linakubalika.
Sasa katika utamaduni huo mwanamke akijiona ana mali ya kuuza utamlaumu vipi?
ni uhuni kuweka x pahala pa sUkishaona mwanamke anaweka x kwenye s ujue tayari umeshakosea kuchagua mke
Kwema tu. Tumetua salama.dah nili cheka Sana nilivyo ona hiyo Picha na hilo bango.
Kwema lakini ?
Kugonga kwa status ndo kupoje?Nakumbuka katika Chama changu cha UWABATA ( Umoja Wa Wanaume Bahiri Tanzania )sheria moja wapo ya UWABATA kifungu namba 246 kinasema
USIMUHUDUMIE MWANAMKE AMBAYE BADO HAUJAMUOAKK
Ndivyo huwa inakua,unakuta anayesaka hela kwa jasho jingi,ndo anahonga pakubwa.Mtu anasaidia fundi,anapewa 10 au 15 kwa siku,halafu anahonga 6000,huyo kahonga pakubwa sana,tofauti na mtu anayepata 40000 kwa siku,halafu yawezekana akampa demu msosi tu au akagonga kwa status tu.Ndivyo huwa inakua,unakuta anayesaka hela kwa jasho jingi,ndo anahonga pakubwa.Mtu anasaidia fundi,anapewa 10 au 15 kwa siku,halafu anahonga 6000,huyo kahonga pakubwa sana,tofauti na mtu anayepata 40000 kwa siku,halafu yawezekana akampa demu msosi tu au akagonga kwa status tu.
Yes n wa ndoa tu #TUOENIEwe mwanaume kabla ya kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo fedha au zawadi yoyote.
hakikisha ume jipa wewe vitu hivyo Mara 10 yake, maana hivi viumbe baadhi ni chuma ulete.
Kumbuka si wa kwako ni zamu yako tu kuichapa usiku na mchana.
Unaijua hadi Bitcoin, wenzako tunaitredi kabisaDollar elfu ishirini laki saba mia mbili na moja zidisha mamia elfu jumlisha mitano tena, weka na mitikashi million moja, kwacha million mia tano na rand elfu sabini, euro elfu kumi bitcoin elfu moja……. 😹😹🤣
Kwa hiyo unataka neno HONGO lifutwe kwenye kamusi?1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Mwanaume anaweza kujibana akafanya sex mara mbili kwa mwezi.Sasa ukioa ugumu wa maisha sio ndio unaji-double. Ukipiga hesabu ya bajeti kwa mwaka mzima gharama ya kununua dadapoa mara mbili kwa wiki ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke.
Tulia 😆Yes n wa ndoa tu #TUOENI
Elfu kumi ya nini,unatumia mbinu za kimasihara kwanza1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Hata huyo mpenzi wako unayemuhudumia muda wowote anaweza kuwa Mkeo, labda kama unao wengi uliowapanga hivyo kuwachukulia kama wauza Kei kama ulivyosemaSio kuhudumia ni kuuziwa kumer indirect. Kama sio mkeo jukumu la kumuhudumia ni la baba ake.
Kwa miaka yangu 35 umenipa madini adimu.Ewe mwanaume kabla ya kumpa mwanamke ambaye siyo mkeo fedha au zawadi yoyote.
hakikisha ume jipa wewe vitu hivyo Mara 10 yake, maana hivi viumbe baadhi ni chuma ulete.
Kumbuka si wa kwako ni zamu yako tu kuichapa usiku na mchana.
Ukioa unapata huduma nyingi ambazo Kwa sehemu kubwa zinakupunguzia Matumizi yasiyo ya lazima.Sasa ukioa ugumu wa maisha sio ndio unaji-double. Ukipiga hesabu ya bajeti kwa mwaka mzima gharama ya kununua dadapoa mara mbili kwa wiki ni ndogo ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke.
🤗🤗Uzi uishie hapa.
Vipi kuna mashaka 😹Unaijua hadi Bitcoin, wenzako tunaitredi kabisa
Nikupe Nmb au crdb? Ipi ipo karibu na wewe muda huu?Thats a very expensive mbususu. I can not afford. Wacha wenye visu vikali wale hilo tako na titi
Ina pendeza kuona Ume jifunza hilo, ewe mwenyekiti wa kataa ndoa.Kwa miaka yangu 35 umenipa madini adimu.
Hili naondoka nalo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nmb itapendeza zaidiNikupe Nmb au crdb? Ipi ipo karibu na wewe muda huu?
Umenisumbua sana naomba biz ifanyike tuendelee na issue zingine..!! 😹😹