Kijana unae kataa kuoa hivi ndivyo unatakiwa kuishi

Kijana unae kataa kuoa hivi ndivyo unatakiwa kuishi

we sio msela na ujaishi na masela

sheria MWANAUME yoyote MTANZANIA kitu cha kwanza anatakiwa ajue kupika ni UGARI then vingine hata usipojua poa tu haviko katika sheria
Nilishindwa. Nilianza kupika nikiwa Grade 4, Chuo niliishi geto. Hata home nafanya kazi zote. Mimi ni msela
 
Mimi binafsi sitaki kula chakula cha house girls wala kufuliwa nguo naye afanye majukumu yake kama kuwaanda watoto usafi wa nyumba kuwapikia watoto chakula ila chakula changu mimi nachotaka kula nipikiwe na mke wangu
Hoja ni wasio oa kufua kujipikia nk nikakuambia tusio oa tunapata zaidi ya unayo pata wewe ....maana tukitaka kudinya tunadinya sawa na wewe tunafuliwa nguo sawa na wewe tuna badili mademu wewe ni ngumu ..tupo huru kwa wanawake wengine wewe siyo huru ...tukitaka kumdinya mkewako tunamdinya tu japo atujamuoa nk
 
Nilishindwa. Nilianza kupika nikiwa Grade 4, Chuo niliishi geto. Mimi ni msela
sasa mkuu msela halfu huji kupika ugari
na wakati ugari ndio msosi unaenda na chochote
ugari unaenda hata na mawazo ya lost maini( elewa mkuu mawazo ya los maini yaan unapiga TONGE then unawaza km vile mboga ndio lost maini kumbe hayo ni mawazo unakula ugari mkavu)

Je unaujua UGARI na SAITI MILA ( SIDE MIRROW)
 
Hoja ni wasio oa kufua kujipikia nk nikakuambia tusio oa tunapata zaidi ya unayo pata wewe ....maana tukitaka kudinya tunadinya sawa na wewe tunafuliwa nguo sawa na wewe tuna badili mademu wewe ni ngumu ..tupo huru kwa wanawake wengine wewe siyo huru ...tukitaka kumdinya mkewako tunamdinya tu japo atujamuoa nk
Mimi mbona sijaoa mkuu ukinipigia wangu na mimi nakupigia wako fresh tu
 
sasa mkuu msela halfu huji kupika ugari
na wakati ugari ndio msosi unaenda na chochote
ugari unaenda hata na mawazo ya lost maini( elewa mkuu mawazo ya los maini yaan unapiga TONGE then unawaza km vile mboga ndio lost maini kumbe hayo ni mawazo unakula ugari mkavu)

Je unaujua UGARI na SAITI MILA ( SIDE MIRROW)
Kwanza hicho kigezo nani kaweka mkuu. Maana nimetimiza vigezo vyote kasoro kupiga ugali tu
 
Hauna Buku hapo (We unayo) Sina!
Jero je (Unayo) Sina!
Mia mbili je (We unayo)

Jamani dolly dolly (Samwela), dolly dolly (Samwela)
Buku unalo na sikupi hupati ata mia
Dolly dolly (Samwela), dolly dolly (Samwela)
Jeru ninalo na sikupi ukitaka we lia

Aya mtoto huyo mtoto huyo, kavua jeans kavaa dera
Mtoto huyo mtoto huyo, kavua jeans kavaa dera
Aya mtoto huyo mtoto huyo, kavua jeans kavaa dera
Mtoto huyo mtoto huyo, kavua jeans kavaa dera

Tonny drizzy shika kwanza, shika kwanza(Tulia)
Nasemaje kanzu mpya ustadhi yule yule
Fungasha virago tuondoke!
 
Back
Top Bottom