Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
GoodMwenzio najitahid kufua kiukwel maada nikiwa mchafu mademu siwez kupata bhn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoodMwenzio najitahid kufua kiukwel maada nikiwa mchafu mademu siwez kupata bhn
Ujana umenisumbua kiukwelGood
Ukikua utaachqUjana umenisumbua kiukwel
Kwa hili joto la dar, sielewagi watu wanaovaaga hivi, hivi hawasikii joto?Wasivae boxer na bukta ndani ya suruali.
Iyo ya nguo nying ndani ishanishinda nakumbuka nikowa shule kuna siku tuliharibu kazi walimu wakatupania kweli wengi walivaa nguo ndani mimi nikachuka track nikavaa nikachukua na suluari ya shule nikaivaa mh nimefika pale nimevimba mwili nikaona jau nikaomba ruhusa kuwa naendesha naenda chooni nikaenda kuivua tangu hapo sijawai jaribu ata kuvaa bukta ndani ni boxer tuKwa hili joto la dar, sielewagi watu wanaovaaga hivi, hivi hawasikii joto?
Alaf ukiwaambia huvaagi bukta juu ya boxer eti wanakushangaa.
Hawajui tu ila wana minimize sperm production pamoja na testosterone, sperm and test production zina elevate mapumbu yakiwa kweny mazingira ya baridi-baridi, na ndio maana testicles zikawekwa kweny mfuko maalumu nje ya mwili na mayai ya mwanamke yakawekwa ndani ya mwili, kwao haina shida, mifumo yetu imetofautiana.
Hayo mambo ya kuvaa nguo nyingi yana hasara kuliko faida, mambo ajabu knoma.
Hakuna kitu kama ichoKama hutaki kuoa utaolewa.
Mrs Byesige hivi unanichukuliaje? 😂 hotel eti sawaHapa ni hotelini.
Labda umeajiriwa hapo.nice
Boxer zakuvaa kwenda harakati, vest na tishet plus jeans huwa ziko safi mara zote!Wazee wa ngebee kufua mpaka mwezi uishe tuungane hapa