Kijana unaetaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, achana na single mother

1. Kwanini upige na kusepa single mama wa watu, huoni unakuwa sehemu ya tatizo?

2. Kila single mama ana kisa chake. Tatizo la single mama ni 'wicked problem' halina suluhu moja. Lazima uulize maswali kama aliachana vipi na mwenza wake, anawajibika vipi kama mzazi, makundi yake yapoje nk.

3. Zipo namna watu wanafaidika na single mama mfano kama huwezi kuzaa basi unaweza kuishi na single mama, pia nafahamu kijana mmoja aliyeoa single mama tajiri kwa ajili ya pesa.

Kwahiyo haya mambo yanawezekana, ila inabidi upime risk unayomudu kwanza.
All in all kuoa single mother ni upumbavu sanaa hayana mapenz na wewe zaidi ya mtoto ama watoto wake anaweza kukwambia uuze Ata nyumba yako alipe ada ya mwanae ni wabinafsi sanaa , nlijua ukimpata alie kwenye ajira bas mtasaidiana maisha ila wa binafsi vibaya mno kuna jamaa angu alia aisee
 
Mimi ni mtetezi wa haki za binadamu wote na sio single mother pekee,

Angalia ujinga wa mleta mada,anasema;

"Single maza akiingia kwenye mfumo,Kijana unapiga kisha una sepa" hapa haoni kua na yeye ni miongoni mwa wanaoleta hilo tatizo la single maza!
Sasa kijana unataka kusema kwenye maisha yako kila demu uliepiga umemuoa? au mademu wengine waliwe tu kimasiala ila singo maza akiliwa lazima aoelewe na aliemla. Acheni kuja hapa na hizo morality uchwara.
Unaweza ukakwepa single maza,ukaona Bikra, kisha unakuja kulea watoto ambao sio wako coz unachapiwa bila kujua,hapo vipi?
Hata single mother anaweza kukubambikia watoto, lakini ukifanya risk assessment. Single mother anakuja na vipengere vingi zaidi
Unapoongelea tatizo la single maza ni lazima uongelee gender zote,Single maza hua hawajipi mimba wao wenyewe,kila single mother hua ana story behind ya kilicho mtokea.
Mwanamke ndie gatekeeper wa fertility. Suala la kushika au kutoshika mimba yeye ndie muamuzi mkuu. Ingawa single fathers nao pia ni sehemu ya chanzo cha tatizo.
 
Wapeniwaacheni washushe pumzi kidogo, maaana daah mnawapelelea moto sana. Kuna muda nawaonea huruma, kuna muda uso wa chuma.
Wakihurumiwa janga kitazidi kuwa kubwa. Maana ambao sio masingle mother hawatakua makini na mienendo yao wakijua na wao hata wakiwa single mother watapewa maneno matamu tamu
 
Hebu acha kila mtu afanye anavyotaka yaan watu mnaushauri kama vile nyie mlikuepo kabra yq dunia kuumbwa single mother single mother vip kajitia mimba mwenyewe some time wanaume ni wabinafsi sana
 
All in all kuoa single mother ni upumbavu sanaa hayana mapenz na wewe zaidi ya mtoto ama watoto wake anaweza kukwambia uuze Ata nyumba yako alipe ada ya mwanae ni wabinafsi sanaa , nlijua ukimpata alie kwenye ajira bas mtasaidiana maisha ila wa binafsi vibaya mno kuna jamaa angu alia aisee
Anachohitaji single mother ni mwanaume wa kumsaidia gharama za malezi na kucheza nafasi ya baba kwenye malezi ya mtoto wake(ingawa hata hiyo nafasi ya baba kunakua na limit ukiivuka mtagombana mfano ukimpa adhabu mtoto baada ya kufanya kosa) . Lakini kusema single mother ana mapenzi kwa baba wa kambo wa mwanae huo ni uongo
 
Hebu acha kila mtu afanye anavyotaka yaan watu mnaushauri kama vile nyie mlikuepo kabra yq dunia kuumbwa single mother single mother vip kajitia mimba mwenyewe some time wanaume ni wabinafsi sana
Hakuna anaweka sheria hapa, hii ni platform ya ku-share mawazo mwisho wa siku kila mtu atafanya maamuzi kwa utashi wake binafsi. Kama kwa namna yoyote unaona maudhui ya topics fulani hayakupendezi basi suluhisho bora zaidi ni kutosoma posts zinazohusiana na hizo topics
 
Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na kupasha kiporo.

Please single mothers, waachieni vijana nafasi ya kuanza mechi 0-0. It's ok you failed your kid as a parent, then atleast don't transcend the consequences of your poor decision to innocent young men. It's ok you have a right to love and be loved, then atleast settle for a single father, not a fresh young man.

Kwenu vijana wa kiume mnaotaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, nyie kama wahanga wakuu wa hii epidemic of single mothers and fatherless kids huku mtaani, amkeni. This isn't about hate. It's about risk assessment. Choose based on the life you want to live, not on guilt, pity or fear of judgement from society.

Single mother anastahili kuolewa na single father au mgane(mwanaume aliefiwa na mkewe), au kuoelwa kama mke wa pili. Lakini sio kuolewa na kijana fresh anaeanzisha familia.

Guys guys guys guys guys, acheni ujinga wa kujiingiza kwenye migogoro isiyowahusu. Hivi unafikiri baba mtoto alikua kipofu asilione hilo tako, unafikiri alikua hana mikono asishike hizo hipsi, unafikiri wewe una akili na maarifa zaidi yake aliyekimbia kwa usalama wa maisha yake. Baba mtoto sio villain, ni kijana mwema tu ambae ameona matatizo ya mzazi mwenzake ambayo wewe bado haujayaona.

Kijana, kama single mother akiingia kwenye mfumo na ukaona ni lazima upige. Wewe piga sepa. Usiweke kambi ya kudumu. Usijifanye masiha kwenye maisha ya single mother na mtoto/watoto wake. You will learn the hard way.

She lost her virginity, innocence and purity. The only and least unique value left for her future husband was her womb, but she gave it away even that. Sasa unafuata nini kwa single mother wakati hakuna chochote special kilichobaki kwa ajiri yako? Don't be stupid.

Mwanaume unatakiwa kuanzisha familia yako wewe mwenyewe, sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.

Don’t be a simp.
Tatizo hawaelewi madogo nyege zikiwapanda wanaweka vitu alafu wanakuja kutuomba tena ushauri
 
Anachohitaji single mother ni mwanaume wa kumsaidia gharama za malezi na kucheza nafasi ya baba kwenye malezi ya mtoto wake(ingawa hata hiyo nafasi ya baba kunakua na limit ukiivuka mtagombana mfano ukimpa adhabu mtoto baada ya kufanya kosa) . Lakini kusema single mother ana mapenzi kwa baba wa kambo wa mwanae huo ni uongo
Hakika mkuu hakuna mapenz kabisa...
 
Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na kupasha kiporo.

Please single mothers, waachieni vijana nafasi ya kuanza mechi 0-0. It's ok you failed your kid as a parent, then atleast don't transcend the consequences of your poor decision to innocent young men. It's ok you have a right to love and be loved, then atleast settle for a single father, not a fresh young man.

Kwenu vijana wa kiume mnaotaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, nyie kama wahanga wakuu wa hii epidemic of single mothers and fatherless kids huku mtaani, amkeni. This isn't about hate. It's about risk assessment. Choose based on the life you want to live, not on guilt, pity or fear of judgement from society.

Single mother anastahili kuolewa na single father au mgane(mwanaume aliefiwa na mkewe), au kuoelwa kama mke wa pili. Lakini sio kuolewa na kijana fresh anaeanzisha familia.

Guys guys guys guys guys, acheni ujinga wa kujiingiza kwenye migogoro isiyowahusu. Hivi unafikiri baba mtoto alikua kipofu asilione hilo tako, unafikiri alikua hana mikono asishike hizo hipsi, unafikiri wewe una akili na maarifa zaidi yake aliyekimbia kwa usalama wa maisha yake. Baba mtoto sio villain, ni kijana mwema tu ambae ameona matatizo ya mzazi mwenzake ambayo wewe bado haujayaona.

Kijana, kama single mother akiingia kwenye mfumo na ukaona ni lazima upige. Wewe piga sepa. Usiweke kambi ya kudumu. Usijifanye masiha kwenye maisha ya single mother na mtoto/watoto wake. You will learn the hard way.

She lost her virginity, innocence and purity. The only and least unique value left for her future husband was her womb, but she gave it away even that. Sasa unafuata nini kwa single mother wakati hakuna chochote special kilichobaki kwa ajiri yako? Don't be stupid.

Mwanaume unatakiwa kuanzisha familia yako wewe mwenyewe, sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.

Don’t be a simp.
swali ninalo jiuliza kila siku ni je,
Kwa nini single mothers huwa wadhaifu sana kwa wazazi wenzao,wanaweza kuwa wameachana hata mwaka mzima,ila siku wakionana ni kama hasi na chanya,lazima wazagamuane bila kujali kuwa tayari wana mahusiano mengine,je ni kwa nini???
 
Back
Top Bottom