Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #41
Soon tutaanza kuwatandika bakoraTatizo hawaelewi madogo nyege zikiwapanda wanaweka vitu alafu wanakuja kutuomba tena ushauri
Soon tutaanza kuwatandika bakoraTatizo hawaelewi madogo nyege zikiwapanda wanaweka vitu alafu wanakuja kutuomba tena ushauri
Mtoto ashawaunganisha maisha yao yote. Kupotezeana kabisa sio rahisi. Kama wanaishi mbali mbali kila mmoja atafikiri ame-move on lakini wakija kukutana hisia zinaamkaswali ninalo jiuliza kila siku ni je,
Kwa nini single mothers huwa wadhaifu sana kwa wazazi wenzao,wanaweza kuwa wameachana hata mwaka mzima,ila siku wakionana ni kama hasi na chanya,lazima wazagamuane bila kujali kuwa tayari wana mahusiano mengine,je ni kwa nini???
Hivi mnakosaga mada za kujadili? Usitufundishe namna ya kuishi ng'ombe wewe!Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na kupasha kiporo.
Please single mothers, waachieni vijana nafasi ya kuanza mechi 0-0. It's ok you failed your kid as a parent, then atleast don't transcend the consequences of your poor decision to innocent young men. It's ok you have a right to love and be loved, then atleast settle for a single father, not a fresh young man.
Kwenu vijana wa kiume mnaotaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, nyie kama wahanga wakuu wa hii epidemic of single mothers and fatherless kids huku mtaani, amkeni. This isn't about hate. It's about risk assessment. Choose based on the life you want to live, not on guilt, pity or fear of judgement from society.
Single mother anastahili kuolewa na single father au mgane(mwanaume aliefiwa na mkewe), au kuoelwa kama mke wa pili. Lakini sio kuolewa na kijana fresh anaeanzisha familia.
Guys guys guys guys guys, acheni ujinga wa kujiingiza kwenye migogoro isiyowahusu. Hivi unafikiri baba mtoto alikua kipofu asilione hilo tako, unafikiri alikua hana mikono asishike hizo hipsi, unafikiri wewe una akili na maarifa zaidi yake aliyekimbia kwa usalama wa maisha yake. Baba mtoto sio villain, ni kijana mwema tu ambae ameona matatizo ya mzazi mwenzake ambayo wewe bado haujayaona.
Kijana, kama single mother akiingia kwenye mfumo na ukaona ni lazima upige. Wewe piga sepa. Usiweke kambi ya kudumu. Usijifanye masiha kwenye maisha ya single mother na mtoto/watoto wake. You will learn the hard way.
She lost her virginity, innocence and purity. The only and least unique value left for her future husband was her womb, but she gave it away even that. Sasa unafuata nini kwa single mother wakati hakuna chochote special kilichobaki kwa ajiri yako? Don't be stupid.
Mwanaume unatakiwa kuanzisha familia yako wewe mwenyewe, sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.
Don’t be a simp.
Mbona ilo ni suala la kuchagua tu wewe mwenyewe ufungue na kusoma mada zenye maudhui gani.Hivi mnakosaga mada za kujadili? Usitufundishe namna ya kuishi ng'ombe wewe!
Huwa sielewi inakuwaje mtu alalamike kama vile kalazimishwa kusoma/kuchangia mada hapa JF.Mbona ilo ni suala la kuchagua tu wewe mwenyewe ufungue na kusoma mada zenye maudhui gani.
Hakuna mtu yoyote hapa jf anaehitaji validation kutoka kwako.
Hii thread usindikizwe na wimbo wa REMMY ONGALA _ NISEMENINI.Tusikae kimya kujifanya hakuna tatizo. Kijana wa kiume kuanza mechi tayari ashapigwa 1-0, bloodline ya ukoo inavulugika, vile vile kuna suala la co-parenting ni manyanyaso ya kihisia na chanzo cha kutiliana mashaka kwenye mahusiano/ndoa. Kuna uzi mwembamba sana unatenganisha co-parenting na kupasha kiporo.
Please single mothers, waachieni vijana nafasi ya kuanza mechi 0-0. It's ok you failed your kid as a parent, then atleast don't transcend the consequences of your poor decision to innocent young men. It's ok you have a right to love and be loved, then atleast settle for a single father, not a fresh young man.
Kwenu vijana wa kiume mnaotaka kuanzisha familia kwa mara ya kwanza, nyie kama wahanga wakuu wa hii epidemic of single mothers and fatherless kids huku mtaani, amkeni. This isn't about hate. It's about risk assessment. Choose based on the life you want to live, not on guilt, pity or fear of judgement from society.
Single mother anastahili kuolewa na single father au mgane(mwanaume aliefiwa na mkewe), au kuoelwa kama mke wa pili. Lakini sio kuolewa na kijana fresh anaeanzisha familia.
Guys guys guys guys guys, acheni ujinga wa kujiingiza kwenye migogoro isiyowahusu. Hivi unafikiri baba mtoto alikua kipofu asilione hilo tako, unafikiri alikua hana mikono asishike hizo hipsi, unafikiri wewe una akili na maarifa zaidi yake aliyekimbia kwa usalama wa maisha yake. Baba mtoto sio villain, ni kijana mwema tu ambae ameona matatizo ya mzazi mwenzake ambayo wewe bado haujayaona.
Kijana, kama single mother akiingia kwenye mfumo na ukaona ni lazima upige. Wewe piga sepa. Usiweke kambi ya kudumu. Usijifanye masiha kwenye maisha ya single mother na mtoto/watoto wake. You will learn the hard way.
She lost her virginity, innocence and purity. The only and least unique value left for her future husband was her womb, but she gave it away even that. Sasa unafuata nini kwa single mother wakati hakuna chochote special kilichobaki kwa ajiri yako? Don't be stupid.
Mwanaume unatakiwa kuanzisha familia yako wewe mwenyewe, sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.
Don’t be a simp.
Kwa nini tena mkuu🤣🤣🤣,jambo lipi limekukuta huko?Usioe single maza,utakuja kunishukuru baadae
UhakikaMtoto ashawaunganisha maisha yao yote. Kupotezeana kabisa sio rahisi. Kama wanaishi mbali mbali kila mmoja atafikiri ame-move on lakini wakija kukutana hisia zinaamka
Kweli wengi wao wanakuwa na wewe ili wahudumie watoto wao uliowakuta.All in all kuoa single mother ni upumbavu sanaa hayana mapenz na wewe zaidi ya mtoto ama watoto wake anaweza kukwambia uuze Ata nyumba yako alipe ada ya mwanae ni wabinafsi sanaa , nlijua ukimpata alie kwenye ajira bas mtasaidiana maisha ila wa binafsi vibaya mno kuna jamaa angu alia aisee
Uzi ufungwe umemaliza kula kitu 😊Kweli wengi wao wanakuwa na wewe ili wahudumie watoto wao uliowakuta.
Na mtoto akitoboa atamwambia wewe sio baba ake. Hapo plan yake ni kunufaika na mtoto yeye peke ake.Kweli wengi wao wanakuwa na wewe ili wahudumie watoto wao uliowakuta.
Angalie interview ya Kenya, step father Kaitwa weak man na dogo aliye mlea.Na mtoto akitoboa atamwambia wewe sio baba ake. Hapo plan yake ni kunufaika na mtoto yeye peke ake.
Kuna siku alinipigia simu saa kumi na mbili asubuhi akadai mtoto wake hana nauli ya kwenda shule na gari ya shule amechelewa so aende kwa boda shule. Nauli kama 15-20 huko, nikajibu tu siko vizuri leo. Aisee huo ugomvi wake😀😀"Yaan wewe Joe unamnyima hela ya nauli mwanangu?!". Tangu hapo alinimwaga so nikagundua hawa huwa wanakuwa na wewe ili kusolve mahitaji ya watoto wao na huku pia huwa wanavutaga mkwanja kwa baba zao. Masingomaza ukikaa nao mara nyingi wakikuelezea shida zao basi huwa mtoto wangu au watoto wangu hawana hiki au wanahitaji hiki ili wewe uone huruma kwa watoto utoe anachohitaji. Masingo maza Ukiwapenda watoto wao tu basi umemaliza sehemu kubwa sana ya kumkamata. Atajitoa kwako hata kwa kile asichokipenda kukufanyia ilimradi tu watoto wake unahudumia na ukitaka kukosana nae basi usiwajali watoto wake uliowakuta, mnamwagana mchana kweupeee😁😁😁😉Huwa wajanja sana hawakaagi sehemu haina huduma za watoto wao.Na mtoto akitoboa atamwambia wewe sio baba ake. Hapo plan yake ni kunufaika na mtoto yeye peke ake.