Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana.
HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na tabia hizi, je kabila muda mwingine yanachangia au ni ujinga tu wa mtu binafsi maana mm nimesoma na kukaa na wasukuma na wahaya ni watu peace sana!!!
HIVI mtu kama huyu ambae hata vitafunio asubuh mpaka anunuliwe na shemeji yako tunaweza msaidia kweli kumpa hata madili madogo madogo apate ata hela ya juisi
Mtaaa hapa Mombasa kwamama mkandamizaji