Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana.

HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na tabia hizi, je kabila muda mwingine yanachangia au ni ujinga tu wa mtu binafsi maana mm nimesoma na kukaa na wasukuma na wahaya ni watu peace sana!!!

HIVI mtu kama huyu ambae hata vitafunio asubuh mpaka anunuliwe na shemeji yako tunaweza msaidia kweli kumpa hata madili madogo madogo apate ata hela ya juisi

Mtaaa hapa Mombasa kwamama mkandamizaji
Itoshe kusema wewe ni mpumbavu.
 
Kuna watu huwa wanajisahau sana,mimi sjui huwa nipoje,hata nyumban nilkuwa nakaaga kama nipo ugenini kimachale chale
 
Ivi unapata wap mpaka mda wa kumjua huyu mtu anakaa Kwa shemeji yke.
 
MTU MWENYE MBELE NA NYUMA HAFATILII MAMBO YA WATU!

MTU MWENYE NA NYUMA,HAWEZI KUPATA MUDA WA KUJUA HUYU NI NANI,ANAISHI KWA NANI,NI NANI YAKE.

NI UMASKINI WA AKILI NA PESA,KUDHANI KUSALIMIA AU KUSALIMIWA NI KIGEZO CHA HESHIMA.

KWA UFUPI,UMEANDIKA UPUMBAVU MTUPU.
Mkuu ujaelewa soma vzur, mtu unasalimiwabna mwanaume mwenzio unakaa kimya kama SIO usenge n nini
 
nadhani ingekuwa vizuri ungemwambia mwenyewe huyo dogo kuliko kuja jf kutulalamikia..
 
Back
Top Bottom