Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

Itoshe kusema wewe ni mpumbavu.
 
Kuna watu huwa wanajisahau sana,mimi sjui huwa nipoje,hata nyumban nilkuwa nakaaga kama nipo ugenini kimachale chale
 
Ivi unapata wap mpaka mda wa kumjua huyu mtu anakaa Kwa shemeji yke.
 
Mkuu ujaelewa soma vzur, mtu unasalimiwabna mwanaume mwenzio unakaa kimya kama SIO usenge n nini
 
nadhani ingekuwa vizuri ungemwambia mwenyewe huyo dogo kuliko kuja jf kutulalamikia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…