Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.

Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo nyangwisi atakimbia mwenyewe.

Ukipiga ugali wako usiku ukashiba vizuri unasubiri usiku wa siku ya pili tena.
 
Kipindi cha nyuma kuna jamaa waliendaga site sasa siku ya kwanza mpishia aliwapikia kitimoto na ugali ila kwenye kitimoto aliweka pilipili nyingi watu wakashindwa kula ikabidi wachukue nyama waoshe kwa Bomba na maji mengi zipikwe upya😁
 
Unaposhauri vijana watumie pilipili nyingi mkuuu kila muda utahitaji kula ili mdomo usikae kizembe
Kipindi najitafuta nilikuwa nakula usiku hadi usiku siku ya pili, Cha kupika chengewe kukipata ni tabu, ndiyo maana nikaibuni hiyo mbinu ya pilipili maana Kuna jamaa walishatengeneza utaratibu wa kuvizia kila siku.
 
Back
Top Bottom