Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.

Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo nyangwisi atakimbia mwenyewe.

Ukipiga ugali wako usiku ukashiba vizuri unasubiri usiku wa siku ya pili tena.
yupo mwanangu sana anakujaga na pilipili zake. Huyu tumfanyaje mkuu?
 
Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.

Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo nyangwisi atakimbia mwenyewe.

Ukipiga ugali wako usiku ukashiba vizuri unasubiri usiku wa siku ya pili tena.
Umasikini ni kitu kibaya sana!!
 
Back
Top Bottom