secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #41
Kama umejipata huna haja ya kuwa mchoyo, kama unajitafuta lazima uwe mchoyo ili ufanikiwe.mkuu unanifundisha uchoyo wa kiwango cha 5G
Kama umejipata huna haja ya kuwa mchoyo, kama unajitafuta lazima uwe mchoyo ili ufanikiwe.mkuu unanifundisha uchoyo wa kiwango cha 5G
Haya mawazo umeyapatia wapi mkuu 😂😂🙌Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.
Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo nyangwisi atakimbia mwenyewe.
Ukipiga ugali wako usiku ukashiba vizuri unasubiri usiku wa siku ya pili tena.
Kipindi najitafuta huu ndio ulikuwa msingi wangu mkuu.Haya mawazo umeyapatia wapi mkuu 😂😂🙌
Unawashwa hatarii🥹Hamu zinakata zote 🤣🤣
Akili za kimaskin na ufukara kwanza umewaza nn ?Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.
Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo nyangwisi atakimbia mwenyewe.
Ukipiga ugali wako usiku ukashiba vizuri unasubiri usiku wa siku ya pili tena.
😂😂Akili za kimaskin na ufukara kwanza umewaza nn ?
Nanunua pingu ili nikiwa nakula niitie mikononi mwako sababu pilipili haitakuzuia.Ikiwa mimi ndio mgeni ntakushauri uongeze pilipili maana si kitu kabisa kwangu 😄😄😄😄
Dah! 😁We ni Mjukuu wa Mzee tola aliekula konokono gizani
Dunia mviringo gaddemit 😁Nanunua pingu ili nikiwa nakula niitie mikononi mwako sababu pilipili haitakuz
Ni ngori!Dunia mviringo gaddemit 😁
Kumbuka unapojitafuta hata uwezo wa kuwa na unga ni ngumu mkuu.Mkuu unawezaje kuwa mchoyo wa ugali?
Umenikumbusha bibi yangu waliendaga kwenye harusi wakapewa manyama rundo ,mpaka yaka chacha,mimi nikajua watayatupa kwanini wasizifue nyama kama nguo wakazipika upya Tena.Ndio mara yangu ya kwanza kuona nyama inafuliwa ,Tena ili kuifanya inoge wakaweka na mabinzari yale ya njano kibao na matangawizi .Umasikini nishai sana.Kipindi cha nyuma kuna jamaa waliendaga site sasa siku ya kwanza mpishia aliwapikia kitimoto na ugali ila kwenye kitimoto aliweka pilipili nyingi watu wakashindwa kula ikabidi wachukue nyama waoshe kwa Bomba na maji mengi zipikwe upya😁