secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Uhakika. Sasa kuna hawa vijana wanaowatembelea wenzao magetoni kuvizia nguna. Dawa yao ni pilipili tu!Ukijifunza vyako visiliwe basi anza wewe kujizuia kula vyao
Vijana wanaojitafuta wanarudishwa sana nyuma na vijana wenzao wanaojitafuta.Uchoyo kiwango cha TBS kabisa...
Fikiraia unajitafuta, umepanga, halafu kijana mmoja anatoka kwao (anaishi kwao) kugongea msosi. Inauma! š„²Uchoyo sio kitu kizuri
Nimefurahi kusikia hivyo.Vijana wamekupata.
Unasema hivyo sababu hujapitia maisha ya msoto ukiwa ugenini + wale wamba ambao muda wa kula wanatokea kusikojulikana na kukupa story motonoto ili nguna iive.Chakula sio Cha kumnyima mtu
Msemo mmoja mtamu sana.Ukijifunza vyako visiliwe basi anza wewe kujizuia kula vyao
Nitapika tutakula ila sio kuficha chakula au kuweka pilipili kumkomoa mtuUnasema hivyo sababu hujapitia maisha ya msoto ukiwa ugenini + wale wamba ambao muda wa kula wanatokea kusikojulikana na kukupa story motonoto ili nguna iive.
Dah! Sawa mkuu, uamuzi ni wako.Nitapika tutakula ila sio kuficha chakula au kuweka pilipili kumkomoa mtu
Kama vijana swala la msosi kama lipo ndani ya uwezo wako wakaribishe wenzio kwa uchache yasiwe mazoea hakuna kijana mpambanaji anaetamani kuvizia msosi mahala ni vile tu hali ni taf sana mtaaniUhakika. Sasa kuna hawa vijana wanaowatembelea wenzao magetoni kuvizia nguna. Dawa yao ni pilipili tu!
Yeah, isiwe mazoea sasa!Kama vijana swala la msosi kama lipo ndani ya uwezo wako wakaribishe wenzio kwa uchache yasiwe mazoea hakuna kijana mpambanaji anaetamani kuvizia msosi mahala ni vile tu hali ni taf sana mtaani
Unaposhauri vijana watumie pilipili nyingi mkuuu kila muda utahitaji kula ili mdomo usikae kizembeYeah, isiwe mazoea sasa!
Kipindi najitafuta nilikuwa nakula usiku hadi usiku siku ya pili, Cha kupika chengewe kukipata ni tabu, ndiyo maana nikaibuni hiyo mbinu ya pilipili maana Kuna jamaa walishatengeneza utaratibu wa kuvizia kila siku.Unaposhauri vijana watumie pilipili nyingi mkuuu kila muda utahitaji kula ili mdomo usikae kizembe