Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

Watakushangaza.Watakula huku wanalia na kufuta pua zao hadi mwisho bila kupumzika.
Kuna Mzee mmoja, zamani kidogo, aliweka pilipipili kwenye nyama ya jogoo, watu wakaziosha upya na kubandika jikoni. Mzee aliduwaa.
 
Kipindi cha nyuma kuna jamaa waliendaga site sasa siku ya kwanza mpishia aliwapikia kitimoto na ugali ila kwenye kitimoto aliweka pilipili nyingi watu wakashindwa kula ikabidi wachukue nyama waoshe kwa Bomba na maji mengi zipikwe upya😁
Mtumeeeh
 
yupo mwanangu sana anakujaga na pilipili zake. Huyu tumfanyaje mkuu?
 
Umasikini ni kitu kibaya sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…