Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

Haya mawazo umeyapatia wapi mkuu 😂😂🙌
 
Akili za kimaskin na ufukara kwanza umewaza nn ?
 
vijana mliosoma India mna uchoyo wa kihindi aiss!
 
Kipindi cha nyuma kuna jamaa waliendaga site sasa siku ya kwanza mpishia aliwapikia kitimoto na ugali ila kwenye kitimoto aliweka pilipili nyingi watu wakashindwa kula ikabidi wachukue nyama waoshe kwa Bomba na maji mengi zipikwe upya😁
Umenikumbusha bibi yangu waliendaga kwenye harusi wakapewa manyama rundo ,mpaka yaka chacha,mimi nikajua watayatupa kwanini wasizifue nyama kama nguo wakazipika upya Tena.Ndio mara yangu ya kwanza kuona nyama inafuliwa ,Tena ili kuifanya inoge wakaweka na mabinzari yale ya njano kibao na matangawizi .Umasikini nishai sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…