Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mkuu, ni jambo jema kama ungedadavua hizo gharama kwa faida ya wengi. Pengine Kuna members na guest users wengine wengi tu wanasoma huu Uzi wanaweza kuhamasika kuja Zanzibar kama mimi.Hiyo 15000-20000 kwa kibarua unafikiri imekuja kirahisi?? Uliza gharama za maisha utaona hiyo haitoshi!
Una 1B nikuelekeze biashara?Nikajua unakuja kueleza fursa zilizopo kule kibiashara ama kuwekeza ambazo wenyeji pengine hawazion,,,,kumbe unazungumzia mahotel,,,, !
Hiyo buku 4 kwa hapa kwetu ni bei ya supu ya samaki na chapati mbili. Hujaiona mchana badoMkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba uniambie ni sehemu gani Zanzibar wanalipa hichi kiasi naweza weka bondi baadhi ya vitu vya mjomba nikadandia gari hata kesho kutwa. I have to support my people at home, and where I work, I earn only 4,000 per day.
Acha utani mkuu . Kwahiyo Breakfast na lunch kwa mtu ambaye anajibana sana inaweza kuwa inamkosti kiasi gani kwa Siku?.Hiyo buku 4 kwa hapa kwetu ni bei ya supu ya samaki na chapati mbili. Hujaiona mchana bado
Unauzaje hicho chakula?Karibuni chakula Cha nguruwe kwa wafugaji kwa Bei nafuu
Tukienda Zanzibar Nan atabaki bara ,?
Labda mbungeAnaesikia na asikie, kuna kazi nimeifanya juzi ya kusafisha shamba la mzungu nimeingiz 75k a day. Ni kazi gn dar utaipata ya kulipwa hiyo hela kwa siku
Hiyo kitu niliiona, ni fursa kubwa. Hoteli za huko chupa hizi za maji ni nyingi sana, ni suala la kwenda tu kuchukua.Una 1B nikuelekeze biashara?
Any way unguja ina shida ya utunzaji na ukusanyji wa taka. Unaweza kufungua kiwanda cha recycling ya plastic?
Huko Zanzibar una wadau tayari wako huko? Yaani ukitoka huko Karagwe una sehemu ukifika na kuanza kazi? Kama ndio nitakutumia nauliWashkaji walishanitonya kitambo Zanzibar ujenzi raia wanakamata 15 per day, Ukijikunja miezi mitatu Milioni unakuwa umeisogelea. Sema nauli ya kunitoa huku karagwe hadi Zanzibar ndio mtiti bado naitafuta.
Elf 6 ukijibana sana yani hapo hata matunda huliAcha utani mkuu . Kwahiyo Breakfast na lunch kwa mtu ambaye anajibana sana inaweza kuwa inamkosti kiasi gani kwa Siku?.
Thats opportunity machupa mengi mnoo ya plastiki. Napambania niweze kupata mashine ya kusaga unga hizi. Huku chupa zenye thaman ni zile ndogo mana wamama wanazitumia kuwekea juisi za matunda. Naweka picha muda mfupi ujaoHiyo kitu niliiona, ni fursa kubwa. Hoteli za huko chupa hizi za maji ni nyingi sana, ni suala la kwenda tu kuchukua.
πHuko Zanzibar una wadau tayari wako huko? Yaani ukitoka huko Karagwe una sehemu ukifika na kuanza kazi? Kama ndio nitakutumia nauli
We simpe M tembea, paje, jambian mpaka michamvi mpaka Nungwi huko. Ina mana umekosa hata trainee ya kufanya uendane na soko la huku?. Watu wanatoka Mwanza wanakuja wanatoboa eti waunguja hawana kazi za kufanya. Juzi kuna waunguja waligoma zege wanataka elfu 30 kila mtu wakaja wabara kwa elfu 20 wakalipiga wakasepa zao.Mku muwe mna waambia na exactly maeneo ya kwenda pia msisahau gharama za maisha zanzibar
pia kazi zimekua za shida sana siku hizi kwani wanyamwezi wamemwagika kwa wingi sana huezi amini saiv hata kazi ya kupakua saruji mpaka utoe hongo mambo huku si rahisi hata kidogo
nipe namba nimcheki mkuuWe simpe M tembea, paje, jambian mpaka michamvi mpaka Nungwi huko. Ina mana umekosa hata trainee ya kufanya uendane na soko la huku?. Watu wanatoka Mwanza wanakuja wanatoboa eti waunguja hawana kazi za kufanya. Juzi kuna waunguja waligoma zege wanataka elfu 30 kila mtu wakaja wabara kwa elfu 20 wakalipiga wakasepa zao.
Kuna sehem Bwejuu inaitwa kwa Lila, hapo kuna waha wengi kuliko wazanzibar wenyewe na wote wanaishi kwa kazi za kishkaji shkaji tu. Nakupa namba za Maduga anataka saidia fundi jambiani
Zanzibar fursa kubwa ni ujenzi plus utalii.Hizi shughuli zimebeba mnyororo mkubwa sana wa kiuchumi.Mkuu, ni jambo jema kama ungedadavua hizo gharama
Mkuu. I really appreciate your kindness and willingness to help me, Ila swala la nauri nilikuwa natania tu, sikuwa seriousππΎππΎππΎ.Huko Zanzibar una wadau tayari wako huko? Yaani ukitoka huko Karagwe una sehemu ukifika na kuanza kazi? Kama ndio nitakutumia nauli
Your explanation is very deep. You covered everything man.Zanzibar fursa kubwa ni ujenzi plus utalii.Hizi shughuli zimebeba mnyororo mkubwa sana wa kiuchumi.
Shughuli nyingi za ujenzi hufanyika shamba. Paje, Nungwi na Kiwengwa ndiyo shamba kubwa kwa Unguja na pia ndizo vitovu vikubwa vya utalii.
Watu wengi hutoka mjini na kuja kufanya shughuli zao shamba.Kawaida kibarua hulipwa tsh 15000-20000 kwa kutwa wakati fundi hulipwa tsh 30000-50000 kwa kutwa.
Nauli plus msosi huwa ndiyo kikwazo hasa kwa kibarua, fundi huwa hapati kikwazo sana.Minimum nauli ni tsh 5000 kwenda na kurudi na msosi ukijibana ni tsh 5000 kwa siku.
Hapo bado kodi ya chumba plus umeme coz maji sehemu nyingi ni bure na wana msemo wao 'maji ni ya Mungu'!Viburudisho kama bando ni muhimu coz hizi kazi zinategemea sana mawasiliano!
Kupitia mchanganuo huo hapo juu, unaweza kuona jinsi kujichanga kunavyokuwa na changamoto zake (siyo kama haiwezekeni)hasa kwa kibarua.
Ukibahatika kazi za mjini ambazo huwa chache minimum msosi plus nauli ni tsh 5000 ukijibana.Pia ukibahatika japo (ni ngumu kupata) site za kulala, pia husaidia kujibana, mara nyingi hizi site kama ni kubwa hulindwa na vikosi.
Unatakiwa ufanye nini?? (kibarua)
1) Chukua chumba shamba bei huanzia 50000-100000.
2) Punguza (piga ndefu) kula na kunywa maji plus juisi na energy. Utaweza?? Kazi zako zinategemea nguvu kwa asilimia 100%
3) Vumilia kwa muda mpaka ukiwa fundi coz ukiweka nia ni muda mfupi kwani faida utakayokuwa nayo fundi wako atakuelekeza kwa vitendo zaidi .
Kama kichwa ni chepesi ndani ya miezi mitatu mpaka sita utakuwa umeiva iwe kwenye tofali, mbao,chuma,tiles,umeme n.k, hakuna notisi ni vitendo tu! Fundi kwa 30000-50000 kwa siku una uwezo wa kufanya chochote!
To be honest, ningependelea zaidi kuwa fundi chuma, tiles au mbao mkuu ila hasahasa fundi chuma. Kuhusu chakula na sehemu ya kulala vimo ndani uwezo wangu.Kama kichwa ni chepesi ndani ya miezi mitatu mpaka sita utakuwa umeiva iwe kwenye tofali, mbao,chuma,tiles,umeme n.k, hakuna notisi ni vitendo tu! Fundi kwa 30000-50000 kwa siku una uwezo wa kufanya chochote!
Mkuu there are times I go up to three months without eating any fruit, whether it's a banana, an orange, or anything else. Kuhusu msosi vijijini tulikuwa tunakula ugali na chumvi kwa hiyo hizo hoho, karoti, ndimu siwezi kuziweka kwenye bajeti kabisa.Elf 6 ukijibana sana yani hapo hata matunda huli
Ukiweka na dina mtu mmoja hapo kama buku 9 hiv. Yani hapo chakula na maji bas. Sisi tuko wawili geto usiku tunakula chakula cha kupika
Unga nusu na robo 1500
Samaki wa buku jero wawili 3000
Nyanya mbili 400
Kitunguu 200
Hoho 200
Karoti 200
Ndimu 200
jumla 5900
DONGOA GETO LA WATU WAWILI USIKU TU.