Kijana unayejitafuta kimaisha, katika utafutaji wako Zanzibar iweke namba moja

Elf 6 ukijibana sana yani hapo hata matunda huli

Ukiweka na dina mtu mmoja hapo kama buku 9 hiv. Yani hapo chakula na maji bas. Sisi tuko wawili geto usiku tunakula chakula cha kupika
Unga nusu na robo 1500
Samaki wa buku jero wawili 3000
Nyanya mbili 400
Kitunguu 200
Hoho 200
Karoti 200
Ndimu 200
jumla 5900

DONGOA GETO LA WATU WAWILI USIKU TU.
Sio powa
 
Ushaur sio mbaya ila Zanzibar kunataka uwe na connection za kutosha maana hakuna sehemu yenye ubinafsi kama uko
Habari zenu

Naomba kuwapa nasaa kidogo vijana wa kiume na kike wanao jitafuta kimaisha. Hapa nitapenda kufikisha ujumbe huu kwa vijana wote wanao jitambua na kuelewa nini wanatakiwa kufanya katika dunia hii. Vijana wote wenye malengo na ndoto nzuri za kupiga hatua moja kwenda nyingine naomba msome kwa makini maandishi haya kisha utachanganya akili zako mwenyewe.

Nimepata muda wa kuitembelea Zanzibar na kugundua kuwa inawafaa sana vijana ambao wako katika utafutaji wakipambania kufika hatua fulani. Asilimia kubwa ya watu wamekuwa wakitaja maeneo mbalimbali ya kiutafutaji na kuacha kuisemea Zanzibar ambayo vizuri kabisa kwa kijana aliye makini. Vijana ambao mmekuwa mkilalamika kuhusu kukosa mitaji hali inayo pelekea kushindwa kufanya shughuli mzipendazo basi Zanzibar ni mahala sahihi kwa kutafutia mtaji.

Eneo kubwa la pwani ya Zanzibar limezungukwa na Hoteli, hali hii imepelekea vijana wengi kupata ajira katika vitengo mbalimbali. Sasa basi dhumuni langu liko hapa, kwenye hizo hoteli kuna vitengo vingi sana mfano, House Keeping, watu wa mapokezi, wapishi, mafundi, walinzi, watu wa swimming pool, wahudumu, watu wa bar, watu wa usafi, watu wa bustani nakadhalika nakadhalika. Vitengo hivyo vinahitaji uwe na uelewa navyo ama taaluma.

Taaluma ama uelewa utaupata huko huko hotelini muhimu ni kuchukua maamuzi. Kuliko kuendelea kulaumu na kulalamika vijana chukueni maamuzi magumu. Iko hivi kwenye hizo hoteli kuna baadhi ya vitengo mafunzo hutolewa kwa muda wa miezi mitatu kisha wakikuona uko vizuri utapata ajira na kuanza kula mshahara. Pia utapata cheti cha kuhitimu mafunzo ambapo tofauti na hapo unaweza kwenda hoteli nyingine na ukapata ajira.

Vijana tokeni, kwenye kutoka unaweza pata madili. Zanzibar iwekeni namba moja kwenye utafutaji, nenda jipe muda kisha pambana. Nimeandika kwa ufupi kutokana na muda hauruhusu, hivyo nitajibu kama utakuwa na swali lolote. Karibu
ct
 
Washkaji walishanitonya kitambo Zanzibar ujenzi raia wanakamata 15 per day, Ukijikunja miezi mitatu Milioni unakuwa umeisogelea. Sema nauli ya kunitoa huku karagwe hadi Zanzibar ndio mtiti bado naitafuta.
Karagwe kuna maisha kuliko zenji, fumbua macho
 
# fursa wawekezaji
Mkuu there are times I go up to three months without eating any fruit, whether it's a banana, an orange, or anything else. Kuhusu msosi vijijini tulikuwa tunakula ugali na chumvi kwa hiyo hizo hoho, karoti, ndimu siwezi kuziweka kwenye bajeti kabisa.

Mpango mzima niambie chapati mbili na chai ni kiasi gani 😀😀😀.

1300
 
We simpe M tembea, paje, jambian mpaka michamvi mpaka Nungwi huko. Ina mana umekosa hata trainee ya kufanya uendane na soko la huku?. Watu wanatoka Mwanza wanakuja wanatoboa eti waunguja hawana kazi za kufanya. Juzi kuna waunguja waligoma zege wanataka elfu 30 kila mtu wakaja wabara kwa elfu 20 wakalipiga wakasepa zao.

Kuna sehem Bwejuu inaitwa kwa Lila, hapo kuna waha wengi kuliko wazanzibar wenyewe na wote wanaishi kwa kazi za kishkaji shkaji tu. Nakupa namba za Maduga anataka saidia fundi jambiani
Msisahau mkija na wanawake wawe wengi hasahasa kutoka kanda ya ziwa ukerewe iwemo nahisi wazee wa kodi mshaijua naana wachaga na wa wapare wamejaa tunataka na kanda ya ziwa wanawake mje zanzibar
 
Hi Zanzibar inayo zungumzwa hapa ni hi hi ambayo hata mimi naendaga kutalii? Au Zanzibar nyingine nisio ijua? Winga wa Kariakoo anaweza kutengeneza pesa nyingi kuliko msoteaji wa Zanzibar. It's true Zanzibar kuna kazi nyingi but mshahara wake ni mdogo sana na maisha ya Zanzibar yako ju sana kuliko Dar.
 
Msisahau mkija na wanawake wawe wengi hasahasa kutoka kanda ya ziwa ukerewe iwemo nahisi wazee wa kodi mshaijua naana wachaga na wa wapare wamejaa tunataka na kanda ya ziwa wanawake mje zanzibar
Wanawakenwa bara wa nn mkuu? Mm nimepata mshangazi mmoja Michamvi una trako la kwenda. Siku ya kwanza nilokutana nao ulinipitia karibu unanukia al-Udi nkadinda masaa 3.. kuna mimama inajipenda wazee sio poa
 
Lishangazi la kizanzibari au la kutoka huku kwetu bara😀😀.
 
Back
Top Bottom