Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
La kizanzibar, lina meno masafi kichizi na linanukia shawarma na strawberry. Yani kiufupi linajua mpaka linajua tenaLishangazi la kizanzibari au la kutoka huku kwetu bara😀😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La kizanzibar, lina meno masafi kichizi na linanukia shawarma na strawberry. Yani kiufupi linajua mpaka linajua tenaLishangazi la kizanzibari au la kutoka huku kwetu bara😀😀.
well, Tupe Mfano wa hizo kazi ili Nami Mwenye Usikivu Hafifu Nione ya Kunifaa.Zanzibar mbali nendeni njombe tu hapo
Kuna mzunguko mkubwa sana wa hela sijawahiona katika sehemu yoyote katika nchi hiyi
Ule mkoa ukiziweza kazi za kule kuingiza laki moja kwa wiki kawaida na kazi unazikataa wewe
Ila sasa pesa yake haikai
Ni za kiume haswaawell, Tupe Mfano wa hizo kazi ili Nami Mwenye Usikivu Hafifu Nione ya Kunifaa.
Zitaje, Mfano ....!?Ni za kiume haswaa
Nakuona kabsa mwanetu ukipakwa mafutaLa kizanzibar, lina meno masafi kichizi na linanukia shawarma na strawberry. Yani kiufupi linajua mpaka linajua tena
Matecno au mbao? 😂Mababu inaonekana ukisikia Smartphone unawaza laki tano sita.
Sikuiz matecno hadi afu sitini unapewa.
mkuuWe simpe M tembea, paje, jambian mpaka michamvi mpaka Nungwi huko. Ina mana umekosa hata trainee ya kufanya uendane na soko la huku?. Watu wanatoka Mwanza wanakuja wanatoboa eti waunguja hawana kazi za kufanya. Juzi kuna waunguja waligoma zege wanataka elfu 30 kila mtu wakaja wabara kwa elfu 20 wakalipiga wakasepa zao.
Kuna sehem Bwejuu inaitwa kwa Lila, hapo kuna waha wengi kuliko wazanzibar wenyewe na wote wanaishi kwa kazi za kishkaji shkaji tu. Nakupa namba za Maduga anataka saidia fundi jambiani
Hapa bado umeacha bonge la gap, mafunzo miezi 3 bure kabisa? Mnaacha magepu mengi sanaIko hivi kwenye hizo hoteli kuna baadhi ya vitengo mafunzo hutolewa kwa muda wa miezi mitatu kisha wakikuona uko vizuri utapata ajira na kuanza kula mshahara.
Mafunzo miezi 4 bure? Mnapenda sana kuacha magepuNikapiga trainee miezi 4, faida niliyo pata hapa nilivyo maliza na msimu wa high season ndio ulikuwa unaingia. Hoteli hiyo hiyo ikanipa ajira na mshahara ulikuwa 350k kwa mwezi, usafiri kwenda na kurudi pamoja na chakula ukiwa kazini hoteli inatoa vyote bure kabisa.
Magepu ni mengi sana mkuu hujafunguka bado training bure au unailipia?Kingine nacho weza kusema Zanzibar ukiwa mzuri kwenye kuongea na kuandika kwa ufasaha angalau lugha ya Kiingereza ni bingo sana. Kupata kazi ni rahisi sana hasa receptionist, utapiga trainee yako baada ya hapo unapata ajira unaanza kula mshahara wa 600k. Sasa kuliko kukaa tu unaweza tafuta mwalimu mzuri akufunze hiyo lugha, jipe muda wa kujifunza kisha zama Zanzibar.
Mkuu umeuliza swali la msingi sana kwasababu kwa maoni ya wadau hapo juu maisha ya Zanzibar ni very expensive.Magepu ni mengi sana mkuu hujafunguka bado training bure au unailipia?
Hawa wanatuonaje sisi sijui wanatuona viande?Mkuu umeuliza swali la msingi sana kwasababu kwa maoni ya wadau hapo juu maisha ya Zanzibar ni very expensive.
Wakati huku 5900 unakula siku 4/5 mtu mmoja km mpo wawili siku 3 asubuhi, mchana na usiku bila kupoa muhogo 100 muhogo wa nguvu chai utachemsha mwenyeweElf 6 ukijibana sana yani hapo hata matunda huli
Ukiweka na dina mtu mmoja hapo kama buku 9 hiv. Yani hapo chakula na maji bas. Sisi tuko wawili geto usiku tunakula chakula cha kupika
Unga nusu na robo 1500
Samaki wa buku jero wawili 3000
Nyanya mbili 400
Kitunguu 200
Hoho 200
Karoti 200
Ndimu 200
jumla 5900
DONGOA GETO LA WATU WAWILI USIKU TU.
UKWELI MTUPUHuu ni ukweli mtupu, miaka ya nyuma mimi binafsi niliamua kujichanganya Zanzibar kwa jamaa yangu alie kuwa ana sukuma kazi za ujenzi. Akaniunganisha tukawa tunapiga pamoja, ila ile kazi nilifanya kwa muda mchache nikatafuta connection ya hotelini. Nikapata hoteli moja iko Nungwi pale nikaingia kama mwanafunzi (trainee) na nilikuwa kitengo cha Muhudumu awali nilienda kwa lengo la kuwa Bar Man ila nilikuta nafasi zimejaa, hivyo nikaona kuliko kukosa ngoja nikomae hapo hapo.
Nikapiga trainee miezi 4, faida niliyo pata hapa nilivyo maliza na msimu wa high season ndio ulikuwa unaingia. Hoteli hiyo hiyo ikanipa ajira na mshahara ulikuwa 350k kwa mwezi, usafiri kwenda na kurudi pamoja na chakula ukiwa kazini hoteli inatoa vyote bure kabisa. Na uzuri zaidi kwa kitengo nilicho kuwepo nilikuwa napata sana tip kutoka kwa wageni, kwa mwezi tu nilikuwa sikosi angalau 200k hiyo nje ya mshahara. Hiyo hela ilikuwa inapiga tafu kwenye masuala ya kulipia chumba maana staff wengi walikuwa wanakaa mjini ndio maana hoteli ilikuwa inatoa usafiri.
Kwa namna hiyo nilikuwa na uwezo wa kuto gusa mshahara wangu, maana kula ilikuwa tunakula pale pale hotelini mara moja moja sana nilikuwa napika geto. Kwa hiyo huyu jamaa anacho sema ni sahihi kabisa, huenda tu jamaa hajafunguka zaidi ili watu waelewe vizuri. Nimetoa huo mfano wangu ili kila mmoja aelewe mambo yanavyo enda. Chukulia huo mfano kwa kijana unae jitafuta uamue ku focus na maisha kweli na uwe na malengo, ukiamua kutunza hiyo 350k ndani ya miaka mitatu utakuwa umetengeneza pesa nzuri sana. Pesa ambayo unaweza toka na kuamua kujiajiri wewe mwenyewe.
Mwezi wa sita kazi za hoteli huwa nyingi sana kwa hiyo mnaweza jichanganya. Kingine nacho weza kusema Zanzibar ukiwa mzuri kwenye kuongea na kuandika kwa ufasaha angalau lugha ya Kiingereza ni bingo sana. Kupata kazi ni rahisi sana hasa receptionist, utapiga trainee yako baada ya hapo unapata ajira unaanza kula mshahara wa 600k. Sasa kuliko kukaa tu unaweza tafuta mwalimu mzuri akufunze hiyo lugha, jipe muda wa kujifunza kisha zama Zanzibar.
Huo mlo wa asubuhi tuHiyo buku 4 kwa hapa kwetu ni bei ya supu ya samaki na chapati mbili. Hujaiona mchana bado