Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester.

Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na wewe bado kijana ambae unasoma kwanini ujibebeshe jukumu la kumlipia ada? Mbaya zaidi ingekua wewe ndie unadaiwa ada huyo demu asingeumiza kichwa wala kupoteza muda wake ili akuchangie hiyo hela.

Muda huu unatakiwa uwe library au kwenye kimbweta unajiandaa na mitihani badala yake unazulula kumtafutia demu ada. Sikumpa hiyo hela na nikamwelekeza aende kumwambia huyo demu wake aongee na ndugu zake wamtatulie hiyo changamoto ya ada.

Kijana, ondoa kabisa akilini wazo la kuboresha maisha ya mwanamke. You don't owe your girlfriend the life her parents failed to give her. She has to hustle herself building her life, she is not your responsibility. Don't assume fatherly role in your building stage, it will hinder your development.

Mwanamke hata kama hana kazi wapo wanaume wengi sana wenye hela watamfuata kumuhitaji kimahusiano na kumtatulia shida zake, na atakaeweka dau kubwa mezani ndie atakua mshindi.

Hii ni tofauti kwa kijana wa kiume. Mwanaume upo peke yako hapa duniani. Hakuna mwanamke wala mwanaume mwenzio anaepambana aje kukuokoa kimaisha. When it comes to your money, mission and resources be selfish and ruthless.

Mwanamke kabla ya kumkubalia mwanaume kigezo cha kwanza kabisa anacheki uwezo wa kiuchumi au probability ya huyo mwanaume kuja kuwa na maisha mazuri uko mbeleni. Kati ya wanawake 10 ni mmoja tu anaweza kumkubalia mwanaume kwa sababu ya upendo au kuvutiwa nae. Wengine 9 wanaobaki kipaumbele chao namba moja ni uwezo wa kifedha au potential ya mwanaume.

Control your lust mzee baba. That shit is women's business. Control your lust you will see no reason for simping. Mwanamke hawezi kukupa hela, hawezi kukupa mtaji, hawezi kukulipia ada, hawezi kukusuluhishia tatizo lako lolote. She is coming into your life only to exploit, not contributing. At your building stage a woman is totally liability.

Kama hali yako bado haijawa stable, usifikiri yupo na wewe kwa kukuvumilia sababu anakupenda. Ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu kwa sasa wewe ndie better option kwake na yeye pia hana hela.

Atakapojitokeza mwanaume mwenye status ya juu zaidi yako na kumtaka au ikitokea akakutangulia kutoboa kimaisha basi hatojifikiria hata mara moja kukuacha, na wala hatojali sacrifices zako.

Stay aside and study a man in love you will understand what am talking about. The dumpest version of a man is the one in love. Observe a man in love that's moment he makes most stupid decisions ever. Don't be that man.

Kumbuka hypergamy nature ya mwanamke haipigiki chenga, ili mahusiano yaende kwenye mstari ni lazima mwanamke awe na feelings kwamba yupo kwenye mahusiano na mwanaume wa daraja la juu zaidi yake, and possibly ndie mwanaume wa daraja la juu zaidi kati ya wanaomtongoza.

Utakapoboresha maisha yake na yeye kuja mpaka kwenye daraja lako automatically atakuona wewe sio mwanaume wa level yake tena, na atatafuta mwingine mwenye status ya juu zaidi yako.

Listen niggaz, a woman should never be center of your life, because women don't really care about you, they care about what you can provide for them. If she destroy you and put you in position where you can't provide for her anymore, she will immediately begin to secure another man who will take your place in her life. She won't waste time considering what she's done to you. But we can't shift all blames to women, even simps who fund this bullshit are also part of the problem.

Don’t be a simp.
 
Kwanilipo fikia sahivi hakika nimekuwa na akili kumkichwa hawa viumbe sio wenzetu kabisa wanachofata kwetu ni pesa ,raha na usalama

Ni wachache wenye upendo wa dhati na kukupenda jinsi ulivyo
 
Ni sababu ipi inamfanya kijana ajisahau namna hii?
Tukijua sababu tutaweza kuondoa tatizo.
Bado kuna chembechembe za patriarch kwenye akili za vijana wa kiume. Patriarchy inachukulia kwamba wanaume wana access ya fursa zote kiuchumi hivyo ni wao kutoa lifetime provision and protection kwa mwanamke.

Patriarch kwa sasa ishakua abolished maeneo mengi duniani, ambapo mwanamke nae amepeea fursa na access zote kama mwanaume hivyo automatically in term of provision patriarchy is outdated.

Lakini kuna hii kitu inaitwa feminism, ambayo inajinasabu kwamba inapigania usawa wa kijinsia, but logically through feminism women don't want gender equality, they want selective equality. They want to choose when and where to be equal with men.
 
Siku moja dogo mmoja hivi alinifuata kuniomba nimkopeshe laki moja kwa ahadi kwamba atanirudishia hela yake ya boom ikitoka. Sababu ya kuhitaji hiyo hela anataka kumalizia ada ya demu wake ili aweze kufanya mitihani ya mwisho wa semester.

Nikabaki nasikitika tu. Huyo binti ana wazazi/walezi na wewe bado kijana ambae unasoma kwanini ujibebeshe jukumu la kumlipia ada? Mbaya zaidi ingekua wewe ndie unadaiwa ada huyo demu asingeumiza kichwa wala kupoteza muda wake ili akuchangie hiyo hela.

Muda huu unatakiwa uwe library au kwenye kimbweta unajiandaa na mitihani badala yake unazulula kumtafutia demu ada. Sikumpa hiyo hela na nikamwelekeza aende kumwambia huyo demu wake aongee na ndugu zake wamtatulie hiyo changamoto ya ada.

Kijana, ondoa kabisa akilini wazo la kuboresha maisha ya mwanamke. You don't owe your girlfriend the life her parents failed to give her. She has to hustle herself building her life, she is not your responsibility. Don't assume fatherly role in your building stage, it will hinder your development.

Mwanamke hata kama hana kazi wapo wanaume wengi sana wenye hela watamfuata kumuhitaji kimahusiano na kumtatulia shida zake, na atakaeweka dau kubwa mezani ndie atakua mshindi.

Hii ni tofauti kwa kijana wa kiume. Mwanaume upo peke yako hapa duniani. Hakuna mwanamke wala mwanaume mwenzio anaepambana aje kukuokoa kimaisha. When it comes to your money, mission and resources be selfish and ruthless.

Mwanamke kabla ya kumkubalia mwanaume kigezo cha kwanza kabisa anacheki uwezo wa kiuchumi au probability ya huyo mwanaume kuja kuwa na maisha mazuri uko mbeleni. Kati ya wanawake 10 ni mmoja tu anaweza kumkubalia mwanaume kwa sababu ya upendo au kuvutiwa nae. Wengine 9 wanaobaki kipaumbele chao namba moja ni uwezo wa kifedha au potential ya mwanaume.

Control your lust mzee baba. That shit is women's business. Control your lust you will see no reason for simping. Mwanamke hawezi kukupa hela, hawezi kukupa mtaji, hawezi kukulipia ada, hawezi kukusuluhishia tatizo lako lolote. She is coming into your life only to exploit, not contributing. At your building stage a woman is totally liability.

Kama hali yako bado haijawa stable, usifikiri yupo na wewe kwa kukuvumilia sababu anakupenda. Ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu kwa sasa wewe ndie better option kwake na yeye pia hana hela.

Atakapojitokeza mwanaume mwenye status ya juu zaidi yako na kumtaka au ikitokea akakutangulia kutoboa kimaisha basi hatojifikiria hata mara moja kukuacha, na wala hatojali sacrifices zako.

Stay aside and study a man in love you will understand what am talking about. The dumpest version of a man is the one in love. Observe a man in love that's moment he makes most stupid decisions ever. Don't be that man.

Kumbuka hypergamy nature ya mwanamke haipigiki chenga, ili mahusiano yaende kwenye mstari ni lazima mwanamke awe na feelings kwamba yupo kwenye mahusiano na mwanaume wa daraja la juu zaidi yake, and possibly ndie mwanaume wa daraja la juu zaidi kati ya wanaomtongoza.

Utakapoboresha maisha yake na yeye kuja mpaka kwenye daraja lako automatically atakuona wewe sio mwanaume wa level yake tena, na atatafuta mwingine mwenye status ya juu zaidi yako.

Listen niggaz, a woman should never be center of your life, because women don't really care about you, they care about what you can provide for them. If she destroy you and put you in position where you can't provide for her anymore, she will immediately begin to secure another man who will take your place in her life. She won't waste time considering what she's done to you. But we can't shift all blames to women, even simps who fund this bullshit are also part of the problem.

Don’t be a simp.
Kama kwaiada tuna like Kisha tunaendelea kusoma
 
Media ambazo vijana wanatumia zina mchango pia. Filamu za mapenzi ya wakorea, wahindi na miziki ya jay melody.
Yap ni kweli. Hizi program za tv na media zina mchango mkubwa. Sasa hivi naona wameweka nguvu kwenye masuala ya jinsia moja. Kwenye soka na movie wamekuja kwa kasi sana.

Kuna yule mchezaji wa Ghana wakati yupo psg alipigwa faini kwa sababu aligoma kuvaa jezi yenye nembo ya upinde. Huko kwenye movie mimi sasa hivi nineacha kabisa kuangalia series za wamarekani maana wale jamaa series zao lazima wapachike scenes za masuala ya upinde. Mpaka katuni zinazoangaliwa na watoto nazo ni za mzazi kuzichunguza kuna masuala ya upinde wanapachikwa uko
 
Very strong message, mahusiano ya chuo yanaisha mara tu mkimaloza chuo!!

Actually kumhudumia mwanamke ambaye sio mkeo ni kutupa pesa zako chooni, no return, no value..just wastage of time, energy and hard earned money!!
 
Very strong message, mahusiano ya chuo yanaisha mara tu mkimaloza chuo!!
Madogo wengi hawajui hii kitu. Wanaishi kwenye fantasy ya kufikiri mapenzi yataendelea mpaka mtaani. Hawajui kama girlfriend wake yupo kwenye prime phase yake, she can trade her youth and beauty for soft life from established men. She can survive just for existing.
 
Kwa upande wangu leo namtumia girlfriend wangu elfu kumi ajikimu huko shuleni. Nitakuwa nimechelewesha maendeleo gani? Natumia ziada yangu kumhudumia girlfriend wangu!
Umesema ni ziada, ila trust me hiyo ziada utaikumbuka sio kwa sababu ni kubwa ila kwa sababu kama kijana hiyo buku kumi ungewekeza ingekulipa huko baadae. Usiidharau fedha, even a penny.
 
Back
Top Bottom