Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

Hii ni tofauti kwa kijana wa kiume. Mwanaume upo peke yako hapa duniani. Hakuna mwanamke wala mwanaume mwenzio anaepambana aje kukuokoa kimaisha. When it comes to your money, mission and resources be selfish and ruthless.
Hii ni big point 📌 nimekuelewa vizuri hapa na hapa kuna mengi ya kuyaongelea yaan hii ni topic kubwa sana ina maelezo mengi ya kupata kitabu kabisa cha chapter zisizopungua 10 na ukauza kuanzia 50k na kuendelea na kikauza balaa
 
Nikipata muda tutalijadili na vijana hilo suala hapa hapa jf kwenye thread yake special
 
Fanya hivyo hio ni big point mwanamke hajengewi wala kutengenezewa future na mwanaume at the end of the day watajifanya wanaimba wanawake tunaweza... mazafather, mwanaume usijifanye wewe ndie uliemzaa.. ana wazazi wake mama na baba yake na ndugu zake wanaoweza kutatua shida zake zote za kimsingi huyo ambao kesho kesho kutwa ikitokea hata ukipeleka mahari ushajirahisisha unataka kuoa wanaweza wakakutimua vile vile na kusema hawakutaki uoe binti yao kwa hio jali maisha yako zaidi kijana don't be a simp
 
Sure, wengi wanaojiita wapambanaji kuna kuna list ya wanaume ambao walimpiga tafu sema ndio huwa hawatajwi.

Harafu just imagine unamuhudumia mwanamke harafu ukitaka kumuoa unatozwa mahari, sasa wazazi wanakutoza mahari ya nini wakati ulibeba jukumu lao la kumuhudumia binti yao. Hii ni double taxation.
 
Tangu tukio nililopigwa Tar 25. July 2012 siku ya Jumatano majira ya saa 5 asubuhi, lilikuja kubadili kabisa mfumo wangu wa mahusiano mpaka leo, ila nikwambie tu wewe dada uliyenifanya vile, yale maumivu niliyopitiaga kwa miaka miwili utayalipa tu. Lini, sijui ila utayalipa tu.
 
Reginald Mengi alitumia hela zake kuboresha maisha ya madam ritha, Jacky, dokii, miri odemba, na ma-miss wengineo Natafuta Ajira
 
Babaeee 🤣🤣🤣🔥
 
Huyo alikua tajiri, sio mbaya. Ila hawa madogo wanaoshindia mihogo na mo energy halafu wanataka kujitutumua waonekane wanahudumia huwa nawasikitikia sana.

Mademu zao wapo kwenye prime phase. Muda wowote anaweza akatokea mwanaume aliejipata akabadilisha maisha yake for once and for all.

Lakini mtoto wa kiume hana privilege hiyo kwaiyo atakakiwi kutumia muda na hela hovyo wala kuwa attached kwa demu ambaye muda wowote anaweza kumponyooka
 
Hahaaa umenichekesha eti madogo wanaoshindia mihogo na mo energy Natafuta Ajira
 
Vijana hawawezi elewa acha niwape hii yangu ya ukweli kabisa, pale Mji mkuu kuna manzi alinikopa 100k ili amalizie ada alafu kipindi hicho namfukuzia na anakuja room kila siku ila mzigo hataki kutoa, anasema anamsela wake hawezi mcheat....nikakomaa ivyoivyo.

Nikachukua 100k nikampa. Keshi yake namkuta na msela wake wako utawala wanafanya usajiri na hela yangu 😂😂 iliniuma kinoma. Nikaondoka zangu na sikuwahi kuomba iyo hela wala yeye hakuwahi rejesha mpaka kesho.
 
Usikubali kuwekwa kwenye friendzone na demu. Anakuweka hapo kws mkakati wa kukutumia akiwa na shida pamoja na kuwa kimbilio la kupata faraja akipigwa tukio.

Ukishafanya move yako harafu demu kachomoa. Wewe potea moja kwa moja. No attention, no validation, no communication, no favoritism, yaani mchukulie kama stranger tu.
 
Back
Top Bottom