AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hii ni big point π nimekuelewa vizuri hapa na hapa kuna mengi ya kuyaongelea yaan hii ni topic kubwa sana ina maelezo mengi ya kupata kitabu kabisa cha chapter zisizopungua 10 na ukauza kuanzia 50k na kuendelea na kikauza balaaHii ni tofauti kwa kijana wa kiume. Mwanaume upo peke yako hapa duniani. Hakuna mwanamke wala mwanaume mwenzio anaepambana aje kukuokoa kimaisha. When it comes to your money, mission and resources be selfish and ruthless.
Nikipata muda tutalijadili na vijana hilo suala hapa hapa jf kwenye thread yake specialHii ni big point π nimekuelewa vizuri hapa na hapa kuna mengi ya kuyaongelea yaan hii ni topic kubwa sana ina maelezo mengi ya kupata kitabu kabisa cha chapter zisizopungua 10 na ukauza kuanzia 50k na kuendelea na kikauza balaa
AbsolutelyTumia ambacho hakiwezi kukuumiza, kingine kila mtu ana viwango vyake.
vijana tujifunze kwenda au kuwa na mtu unaye mmudu, kiakili, kimwili na hata kimahitaji.
Though some of these hoes are desperate kuvuna wasipo panda, then treat them as shits.
Fanya hivyo hio ni big point mwanamke hajengewi wala kutengenezewa future na mwanaume at the end of the day watajifanya wanaimba wanawake tunaweza... mazafather, mwanaume usijifanye wewe ndie uliemzaa.. ana wazazi wake mama na baba yake na ndugu zake wanaoweza kutatua shida zake zote za kimsingi huyo ambao kesho kesho kutwa ikitokea hata ukipeleka mahari ushajirahisisha unataka kuoa wanaweza wakakutimua vile vile na kusema hawakutaki uoe binti yao kwa hio jali maisha yako zaidi kijana don't be a simpNikipata muda tutalijadili na vijana hilo suala hapa hapa jf kwenye thread yake special
Sure, wengi wanaojiita wapambanaji kuna kuna list ya wanaume ambao walimpiga tafu sema ndio huwa hawatajwi.Fanya hivyo hio ni big point mwanamke hajengewi wala kutengenezewa future na mwanaume at the end of the day watajifanya wanaimba wanawake tunaweza... mazafather, mwanaume usijifanye wewe ndie uliemzaa.. ana wazazi wake mama na baba yake na ndugu zake wanaoweza kutatua shida zake zote za kimsingi huyo ambao kesho kesho kutwa ikitokea hata ukipeleka mahari ushajirahisisha unataka kuoa wanaweza wakakutimua vile vile na kusema hawakutaki uoe binti yao kwa hio jali maisha yako zaidi kijana don't be a simp
Reginald Mengi alitumia hela zake kuboresha maisha ya madam ritha, Jacky, dokii, miri odemba, na ma-miss wengineo Natafuta AjiraSure, wengi wanaojiita wapambanaji kuna kuna list ya wanaume ambao walimpiga tafu sema ndio huwa hawatajwi.
Harafu just imagine unamuhudumia mwanamke harafu ukitaka kumuoa unatozwa mahari, sasa wazazi wanakutoza mahari ya nini wakati ulibeba jukumu lao la kumuhudumia binti yao. Hii ni double taxation.
Babaeee π€£π€£π€£π₯Tangu tukio nililopigwa Tar 25. July 2012 siku ya Jumatano majira ya saa 5 asubuhi, lilikuja kubadili kabisa mfumo wangu wa mahusiano mpaka leo, ila nikwambie tu wewe dada uliyenifanya vile, yale maumivu niliyopitiaga kwa miaka miwili utayalipa tu. Lini, sijui ila utayalipa tu.
Also she can secure job easily.Madogo wengi hawajui hii kitu. Wanaishi kwenye fantasy ya kufikiri mapenzi yataendelea mpaka mtaani. Hawajui kama girlfriend wake yupo kwenye prime phase yake, she can trade her youth and beauty for soft life from established men. She can survive just for existing.
Also she can secure job easily.Madogo wengi hawajui hii kitu. Wanaishi kwenye fantasy ya kufikiri mapenzi yataendelea mpaka mtaani. Hawajui kama girlfriend wake yupo kwenye prime phase yake, she can trade her youth and beauty for soft life from established men. She can survive just for existing.
Huyo alikua tajiri, sio mbaya. Ila hawa madogo wanaoshindia mihogo na mo energy halafu wanataka kujitutumua waonekane wanahudumia huwa nawasikitikia sana.Reginald Mengi alitumia hela zake kuboresha maisha ya madam ritha, Jacky, dokii, miri odemba, na ma-miss wengineo Natafuta Ajira
Hahaaa umenichekesha eti madogo wanaoshindia mihogo na mo energy Natafuta AjiraHuyo alikua tajiri, sio mbaya. Ila hawa madogo wanaoshindia mihogo na mo energy halafu wanataka kujitutumua waonekane wanahudumia huwa nawasikitikia sana.
Mademu zao wapo kwenye prime phase. Muda wowote anaweza akatokea mwanaume aliejipata akabadilisha maisha yake for once and for all.
Lakini mtoto wa kiume hana privilege hiyo kwaiyo atakakiwi kutumia muda na hela hovyo wala kuwa attached kwa demu ambaye muda wowote anaweza kumponyooka
Asilimia kubwa ya vijana wanaishi maisha duni sana huku mtaani, cha kusikitisha hela ya kukidhi mahitaji muhimu wanapata. Shida ni kutaka kwenda sambamba na vibe za mademu wa age yao.Hahaaa umenichekesha eti madogo wanaoshindia mihogo na mo energy Natafuta Ajira
Usikubali kuwekwa kwenye friendzone na demu. Anakuweka hapo kws mkakati wa kukutumia akiwa na shida pamoja na kuwa kimbilio la kupata faraja akipigwa tukio.Vijana hawawezi elewa acha niwape hii yangu ya ukweli kabisa, pale Mji mkuu kuna manzi alinikopa 100k ili amalizie ada alafu kipindi hicho namfukuzia na anakuja room kila siku ila mzigo hataki kutoa, anasema anamsela wake hawezi mcheat....nikakomaa ivyoivyo.
Nikachukua 100k nikampa. Keshi yake namkuta na msela wake wako utawala wanafanya usajiri na hela yangu ππ iliniuma kinoma. Nikaondoka zangu na sikuwahi kuomba iyo hela wala yeye hakuwahi rejesha mpaka kesho.