Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Ukwel mtupu ila utapingwa.
Ndoa au mahusiano siku hiz yamegeuka.kama sehem pa mabinti/wanawake kupunguzia umasikini wao. Utasikia kauliza "tafta ela", kama binti kakaa bila kazi mda mrefu utasikia anaambiwa "si uolewe tu"
Mmomonyoko wa Maadili , yaan Dunia ya sasa ukishakua na Jicho la tatu. Utajua namna ya kucheza Muziki wake.
 
Hakika, though mleta mada yupo on point kwa kila alichosema...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kabisa Mkuu[emoji4]
Na wanawake akikuhitaji atapretend TU kumeet Vigezo na masharti, baada ya hapo majuto
 
Back
Top Bottom