Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Acha kututisha,hao wenye tabia hizo labda wa kwenu huko mijini,sisi huku kwetu tunasaidiana na maisha yanasonga raha tupu...
Kijijini wote fani moja baba mkulima ,mama mkulima ,bibi mkulima,mume mkulima,wewe mkulima maisha wote wakulima

Saluni hakuna nk

Mhamie mjini na huyo mkeo uone utajua kama saluni anaijua au la
 
Ewaaaaa....we jamaa ni genius [emoji122][emoji122]

Ogopa mwanaume asiyetaka au anayejifanya hataki kutumia pesa yako kama mkewe au mchumba wako. Huyo ni mbinafsi na mnyanyasaji.

Na Hilo lipo Kwa wanaume wengi WA Afrika.

Mwanamke unapoitumia pesa yake naye anajiona Part of your Life.
Kama Mungu tunampa zaka na Sadaka Sisi tulioviumbe wake sembuse mke kutoa pesa Kwa ajili ya mume wake.

Ndio maana nikasema Mwanaume ambaye hataki pesa ya Mke wake ni kwamba hataki kuwa miliki ya huyo mwanamke, Hana ushirika.

Kwenye Mia moja mke akitoa hata 10 au 30 kuna shida gani?
 
Upendo WA kweli hautengenezwi.
Kuupata upendo wa kweli ndio kipengele.

Na hapo ndipo mtoa mada hoja yake inapopata nguvu[/QUOTE]

Maneno konki
 

Maneno konki
 
Usipovuta unakua na akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwetu mahari lakh 5 tuπŸ˜‹
 
Naam, ndiyo hali halisi ilivyo, kijana ajitathimini kama ataweza kumudu changamoto za ndoa kwa mwanamke mwenye uwezo wa kiuchumi kumzidi mume wake
 
Pet 3:7 SUV

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Keyword ni Kaeni na wake zenu kwa Akili
 
Kwa ambao hamjaoa nawashauri tu USITHUBUTU KUJIFUNGA GEREZA LA NDOA. fanya maisha Yako mwenyewe kama ni stress zitakuwa zako na utazitatua mwenyewe.
Sijaoa et jamani,so nikae tu?
 
Mimi nitakuja kukutolea mahari ya TSH million 1, huyo extrovert ni wa mchongo tu, mm ndo balqior og πŸ˜… Mama pretty
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ili uje tusaidiane maishaπŸ˜‹πŸ˜‹

Muache kujana wa watu mme wangu mtarajiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hii comment yako kuna haja gani ya ndoa mkuu? Mbona ni kama unaingia katika matatizo yaani hakuna furaha ndani ya ndoa, ni unafiki umetawala kila mtu hana imani na mwenzake, ndo maana tunakufa na visukari na pressure kwa kuubeba msalaba usiotuhusu, tuache kuendekeza ujinga wa namna hii ndani ya ndoa kama hafai fukuza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…