Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Hahahah mkuu uko with negative thoughts kuhusu relationship na ndoa. Mwanamke sio mtu special kama unavyodhani, mlichopishana ni mindset na viungo vya uzazi tu.

Kuishi na mwanamke kama mke wako inataka akili na utu na heshima sana. She has to know you first na aweze ku adopt na mazingira yako. Sasa unaposema uoe ila usitegemee msaad toka kwa mke ile dhana ya mke kuwa msaidizi wako inakuwa haiko, unaoa ili iweje sasa?

Kama unaoa mke aje kuwa kama parasite huo ni uamuzi wako. Ambao wataoa wake wakijua maisha ni kupwa na kujaa kama bahari waache waoe wa aina hio. Mwanamke yuko wa kuendana na kila mtu.
We jamaa uko kinyume kabisa na uhalisia na unature vile vile[emoji848][emoji848]...

Yaan hauko kwenye ulimwengu huu, sijui huwa unaota??[emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mkuu unafikiri msaada wa pesa sio kwa mwanamke, labda misaada mingine kama kazi za ndani kukutibu kukufulia hapo poa ila pesa zake mtapishana bure bora kujipanga kimind set mapema..........na pia women kisaikolojia nitofauti sanaa na wanaumme hatuwezi kufanana wanahitaji special handling ili uelewe vzr ntakipa mifano mingi
Huyo hawezi kuelewa kabisa!

Yy anataka awe pasu pasu na mwanamke [emoji848][emoji849][emoji849]

Ulishaonaga wapi hiki kitu?[emoji848]

Evelyn Salt
 
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.
Inatakiwa ujipange vya kutosha kwa hayo unexpected natural disasters
 
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
Kumbe bado kuna wanaume original asee[emoji848][emoji848]
 
Upo sahihi Kama mumeokotana na hampendani.
Na hamjui nini maana ya Familia.

Siku zote familia yenye mfumo uliousema kamwe haiwezi kuendelea.
Hiyo ni Familia yenye ubinafsi, na kwenye ubinafsi kuna unyanyasaji.

Unakuta mume anamnyanyasa mke kisa Mke Hana kipato, au kisa mume ndiye analisha familia. Halikadhalika na Mke naye anamnyanyasa mume kisa Hana kipato na yeye ndiye analisha familia.

Msingi Mkuu wa ndoa ni Upendo na wala sio pesa.

Ushauri wako ni mzuri Kutokana na Dunia ya sasa ilivyo, wanawake ni selfish Kwa watu wasiowapenda. Hilo ulizingatie Sana.

Pesa zako hazimfanyi mwanamke akupende, hilo pia uliweke akilini.
Na Mwanamke lazima Ajue uzuri wake na kujitoa kwake hakumfanyi mwanaume akupende.

Upendo WA kweli hautengenezwi.
Kuupata upendo wa kweli ndio kipengele.

Na hapo ndipo mtoa mada hoja yake inapopata nguvu
 
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika comment ya kidhaifu namna hii. Watu kama wewe ndio mnapotosha uma wa wanawake kuwa wanaume mbele yao hatuna ujanja na ni dhaifu halafu wanakuja kutana na majambazi wanapigwa na kitu kizito wanaishia kusema wanaume ni mbwa.

Sifa ya mwanaume ni kutokukubali kuonekana dhaifu. Umeandika kizembe sana , sijapenda kwakweli. Nikiwa kama Kaka yako mkuu na kiranja wa mwenendo wako nakuagiza uedit hii comment iwe ya kibabe au uifute ili kusafisha hadhi yako ya kiume.
Haaahaaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Kaongea ukweli ambao hamtaki tuujue, unfortunately tunaujua vizuri tu[emoji16][emoji38]
 
Hahahah mkuu uko with negative thoughts kuhusu relationship na ndoa. Mwanamke sio mtu special kama unavyodhani, mlichopishana ni mindset na viungo vya uzazi tu.

Kuishi na mwanamke kama mke wako inataka akili na utu na heshima sana. She has to know you first na aweze ku adopt na mazingira yako. Sasa unaposema uoe ila usitegemee msaad toka kwa mke ile dhana ya mke kuwa msaidizi wako inakuwa haiko, unaoa ili iweje sasa?

Kama unaoa mke aje kuwa kama parasite huo ni uamuzi wako. Ambao wataoa wake wakijua maisha ni kupwa na kujaa kama bahari waache waoe wa aina hio. Mwanamke yuko wa kuendana na kila mtu.
Correct
 
Watu si wanafikiria maisha ni burudani tu. Maisha ni fumbo mkuu, kuoa ni mtihani unahitaji akili sana. Binafsi mi ntao mke wa mfano wa huyo shemeji yako. Hata nikifa watoto wangu wako sehemu salama coz mama yao ni strong.
Hahahahaha daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We jamaa bana
 
Mmh mwanaume ukintatein huu uselfish wa wanawake kwamba chako chetu changu n changu..nakuapia utakufa mapema na mapressure na magonjwa mengn ya moyo...kama mshakua mwili mmoja ni jukumu la kila mmoja mme na mke kuchangia maendeleo ya famili pasi kutegeana.

Unaakili Sana sema watu hatukwambii tuu!

Ya nini ujitese kisa ujinga
 
Uzi mzur tatizo naona kama hakuna aliyeko kwenye ndoa hapa nyingi naona ni theory.

Mwanamke aliyekomaa martured, na mwanaume aliyekomaa wanaoishi Kwa heshima ya uwanauke na una ume wao tu. Nimeshuhudia ndoa mwanaume anahangaika na mke anahangaika. Sio heshima ukiwa umekaa ndani tu.

Hapo mtasumbuana.

Kile kipindi cha honeymoon kiki Isha ni mwendo wa kupambana. Uselfish wa mwanamke unakuja pale mume anapokuwa irresponsible.
Wewe angalau umeongea logic[emoji122][emoji122]

Yaan unakuta hela ya mwanaume haionekani au hayuko responsible kabisa afu anasema hela ya mwanamke lazima ionekane na isaidie nyoooo [emoji1787][emoji1787]
 
Hahahah mkuu uko with negative thoughts kuhusu relationship na ndoa. Mwanamke sio mtu special kama unavyodhani, mlichopishana ni mindset na viungo vya uzazi tu.

Kuishi na mwanamke kama mke wako inataka akili na utu na heshima sana. She has to know you first na aweze ku adopt na mazingira yako. Sasa unaposema uoe ila usitegemee msaad toka kwa mke ile dhana ya mke kuwa msaidizi wako inakuwa haiko, unaoa ili iweje sasa?

Kama unaoa mke aje kuwa kama parasite huo ni uamuzi wako. Ambao wataoa wake wakijua maisha ni kupwa na kujaa kama bahari waache waoe wa aina hio. Mwanamke yuko wa kuendana na kila mtu.
Saafi saana mkuu hayanaga formula haya masuala. Unaweza oa asie ka kazi hachangii chochote zaidu ya nyandu na kukuzalia na kukupikia afu siku mambo zako zimekaa vzr anakuzingua ili mgawane mali kipi bora sasa. Mleta mada atuambiw
 
Inatakiwa ujipange vya kutosha kwa hayo unexpected natural disasters
Anayeweza kupangua hayo ni Mungu tu. Tumeshuhudia mtu ambaye aliaminika ni powerful jasiri wa michongo, muongoza njia ila alitandikwa na moja kubwa hadi hadi akatembeza bakuli.

Itakuwa mie ambaye hata sina million 1OO kwenye account 😂😂😂
 
Mdangaji sindio new name of the game. Goldiggers ndio always wanalilia matunzo they don't fight for theirselves but incline on a mans finance.

Ni mizigo na wakiolewa ndio huwa hawachangii chochote zaidi ya sex.
Haaahaaa
 
Upo sahihi Kama mumeokotana na hampendani.
Na hamjui nini maana ya Familia.

Siku zote familia yenye mfumo uliousema kamwe haiwezi kuendelea.
Hiyo ni Familia yenye ubinafsi, na kwenye ubinafsi kuna unyanyasaji.

Unakuta mume anamnyanyasa mke kisa Mke Hana kipato, au kisa mume ndiye analisha familia. Halikadhalika na Mke naye anamnyanyasa mume kisa Hana kipato na yeye ndiye analisha familia.

Msingi Mkuu wa ndoa ni Upendo na wala sio pesa.

Ushauri wako ni mzuri Kutokana na Dunia ya sasa ilivyo, wanawake ni selfish Kwa watu wasiowapenda. Hilo ulizingatie Sana.

Pesa zako hazimfanyi mwanamke akupende, hilo pia uliweke akilini.
Na Mwanamke lazima Ajue uzuri wake na kujitoa kwake hakumfanyi mwanaume akupende.

Upendo WA kweli hautengenezwi.
Kuupata upendo wa kweli ndio kipengele.

Na hapo ndipo mtoa mada hoja yake inapopata nguvu
Ewaaaaa....we jamaa ni genius [emoji122][emoji122]
 
Mkuu unafikiri msaada wa pesa sio kwa mwanamke, labda misaada mingine kama kazi za ndani kukutibu kukufulia hapo poa ila pesa zake mtapishana bure bora kujipanga kimind set mapema..........na pia women kisaikolojia nitofauti sanaa na wanaumme hatuwezi kufanana wanahitaji special handling ili uelewe vzr ntakipa mifano mingi

Unachosema ni sahihi kabisa kwamba sio vizuri kutegemea pesa ya mwanamke.
Lakini I kutoitumia kabisa pesa ya Mwanamke ni Dalili kuwa hapo hakuna ndoa, yaani huyo sio Mkeo na wewe sio mume wake anayekupenda.

Mwanamke anayekupenda lazima pesa yake uilambe. Yaani atafanya juu chini pesa yake uile.
Mwanamke asiyekupenda atafanya juu chini pesa yake usiile.

Sasa Kama Mwanamke Hana uwezo WA kukupa pesa yake unategemea ataweza kukuuguza ukikamatika?😂😂

Pesa ni kitu kidogo Kwa mtu mwenye Upendo.

Ila Vijana hawapaswi kuzitolea macho pesa za wake zao, isipokuwa lazima zitumike ndani ya familia.

Kwa mtu mwenye mtazamo Kama wako sio ajabu Ukidondoka sasa hivi Mkeo na watoto lazima wapate taabu.
Kwa sababu hapakuwa na ushiriano na umoja baina ya Baba na Mama
 
Back
Top Bottom