witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
We jamaa uko kinyume kabisa na uhalisia na unature vile vile[emoji848][emoji848]...Hahahah mkuu uko with negative thoughts kuhusu relationship na ndoa. Mwanamke sio mtu special kama unavyodhani, mlichopishana ni mindset na viungo vya uzazi tu.
Kuishi na mwanamke kama mke wako inataka akili na utu na heshima sana. She has to know you first na aweze ku adopt na mazingira yako. Sasa unaposema uoe ila usitegemee msaad toka kwa mke ile dhana ya mke kuwa msaidizi wako inakuwa haiko, unaoa ili iweje sasa?
Kama unaoa mke aje kuwa kama parasite huo ni uamuzi wako. Ambao wataoa wake wakijua maisha ni kupwa na kujaa kama bahari waache waoe wa aina hio. Mwanamke yuko wa kuendana na kila mtu.
Yaan hauko kwenye ulimwengu huu, sijui huwa unaota??[emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849]