Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Vijana wa jamii forum na ndoa..naishiagaa kuchekaa tuuu😅😅😅😅
 
Kwamba pamoja na yote akakengeuka[emoji38]
 
Unadhani kufukuza mwanamke wa kileo kirahisi hivyo unalo .Eti fukuza unaota enzi za mfumo dume zilishaondoka mtaburuzana mahakamani hadi ujute kuzaliwa na kumfahanu
Nilimburuza mwanamke mahakamani akatokomea hakuonekana tena
 
Huwezi kulazimisha mke akupenda hata siku moja kama yeye anaona pesa yake ende kujanga kwao, jambo hambalo huwezi kugundua kabla ya kumuoa, na ni ujinga kumpa talaka kisa hela yake inaishia kwao
Kwa akili hizi bado hauna akili za kuishi na mwanamke. Hivi mwanamke hadi anajenga kwao hujiulizi anajiandaa na kitu gani.....? Bro amka
 
Ukishaweka akilini ndoa ni Vita utapata tabu. Na ni heri usioe, kwanini uumizwe na mtu uliyejuana nae ukubwani. Mwanamke humwelew mteme achana nae maswala ya vita hamko jeshini.
 
Impact ya 50/50 ishanza kuonekana kwenye jamii, hasa kwa vijana walio zalkwa kuanzia 1995 na kuendelea wengi wamekutana na mitaala hii ya 50/50, usawa wa kijinsia,haki sawa ,mwisho wa siku kifikra wanamfundisha mtoto wa kiume ajione yeye ana haki sawa na mwanamke.

Yaani walikuwa wanazani wanawakomoa wanaume, kumbe wanatengeneza kizazi kitakacho waumiza watoto wao wenyewe wa kike na ukizingatia sasa hivi jando na unyago tushapiga teke.

Ila ndugu zangu mtoto wa kiume hutakiwi kuifikiria wala kuipigia hesabau hela ya binti wa kike. Japo wana kelele zao 50/50 ,ila kaa ukijua wanawake sometimes huwaga hawajui wanacho kitaka hata akiwa na elimu gani.
 
Sahii kabisa
Mwanaume Kuitwa Kichwa Cha familia sio kua na uwezo wa kukuna pumbu TU asbh.

Bali Ni uwezo wa kumhudumia familia yako, ya wazazi wako, na wazazi wa mkeo[emoji4][emoji106]
Ndio maana hatuendelei
 
Nihudumie mpaka familia yake? Yeye hela zake anazitumia kwenye nini? Huyo ni mchoyo na hafai kuwa mke wangu kwa mtazamo wangu. Kama nahudumia kila kitu basi itabidi aache kazi awe mama wa nyumbani vinginevyo nampa talaka
 
Naendelea kujifunza kutoka kwako mkuu.
 
Na kibaya huo mfumo umefocus kumuinua mtoto wa kike na kumsahau mtoto wa kiume kumuandaa jins ya kuishi na huyo mwanamke na matokeo yake ndio Aya sasa
 
Na kibaya huo mfumo umefocus kumuinua mtoto wa kike na kumsahau mtoto wa kiume kumuandaa jins ya kuishi na huyo mwanamke na matokeo yake ndio Aya sasa
Na jamii yetu ya sasa hii inayo jifanya kwenda na wakati hawalioni hili na washa chelewa.
 
Wajua kwanini ndoa zavujika kuliko zinazo fungwa ni kwasababu ya kua na high expectation wana ndoa, mke anafikira kutatua changamoto za pesa zake kutoka kwa mme, na mme anategemea ku-control finances za mkeo, hapo ndoa inashindikana, na lingine kutegemea mke kuzingatia bibulia kwenye ndoa jambo lisio wezekaba kabisa, waloke wameongoza kwa kushindwa ndoa kwanini wana taka kuleta myth zao za bibilia into realities, ndo maana wana shindwa ndoa.
 
Kwa akili hizi bado hauna akili za kuishi na mwanamke. Hivi mwanamke hadi anajenga kwao hujiulizi anajiandaa na kitu gani.....? Bro amka
Bro uliza wanao kuzidi umri wana wake wangapi wamejenga kwao au nyumba za wapangaji na mme kuja kugundua badaye, na hamfanye chochote.......hiyo sio sababu ya kumpa talaka na kuacha watoto bila mama, la muhimu nikujianda kisaikolojia kwa lolote usitegemee pesa ya mwana mke kama wataka kuishi maisha marefu
 
Mkuu zama zimebadilika, unaweza ukajikuta una 45+ na bado huelewi
 
Nihudumie mpaka familia yake? Yeye hela zake anazitumia kwenye nini? Huyo ni mchoyo na hafai kuwa mke wangu kwa mtazamo wangu. Kama nahudumia kila kitu basi itabidi aache kazi awe mama wa nyumbani vinginevyo nampa talaka
Mkuu hiyo ni fitina na wivu wakati unamuoa ulitegemea nani akusaidia kumhudumia, mahare tunao toa ishara tosha kwamba unauwezo wa kumhudumia ndo maana wenyewe hawatowi mahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…