Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Sometime tuna oa kupata heshima na kuaminika kwenye jamii zetu, lakini hamna cha kusaidiana chochote ndoa ni one sided majukumu yote mengi ni nwanaume, wengine hata hiyo bususu unayo sema hawapati wana pangiwa ratiba yake sio kila siku
Duh kupimiwa utamu na mke tena sii majanga haya. Eti Kelsea sophy27 utampia utamu hubby wako kweli?
 
Kesho akikosa maisha mkewe akiambiwa anunue chakula ndani akatae wakati bank ana akiba ya Milion 5 aanze kupiga kelele mwanamke ni mbinafsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana hivyo ndivyo ulivyomkuza wewe si ulidhani kila siku Utakuwa nacho haya pambana..
Kwel Mwanamke unapaswa kumfundisha kushilikiana katika kutoa na kupokea ili ajue kwamba She is a right helping hand.
 
Umeoa? Wapo wanawake wachache, ambao watachangia. Lakini wengi hawatafanya hivyo. Mwanamke hata kama anafanya kazi na analipwa mshahara, bado anataka umpe nauli, pesa ya kula mchana, pesa ya saloon n.k.

Usipo mpa atatafuta wa kumpa.
Hee mbona mna kazi, kama kazi haiwezi kumlipa nauli, chakula cha mchana etc abaki nyumbani tu kwa kweli.
 
Sometime tuna oa kupata heshima na kuaminika kwenye jamii zetu, lakini hamna cha kusaidiana chochote ndoa ni one sided majukumu yote mengi ni nwanaume, wengine hata hiyo bususu unayo sema hawapati wana pangiwa ratiba yake sio kila siku
Hivi ulishawahi kuona tuzo za heshima ndoa zinatolewa duniani? Oa sababu umepata mwenza sahihi , sio sababu unatafuta heshima kwa jamii
 
Hivi ulishawahi kuona tuzo za heshima ndoa zinatolewa duniani? Oa sababu umepata mwenza sahihi , sio sababu unatafuta heshima kwa jamii
Huwezi kupewa majukumu ya juu bila kua na ndoa halal katika jamii zetu za Africa matharani huwezi kupewa cheo cha uraisi wenye kiti wa chama, ukikosa mke kiujumla jamii inakudharau sana, hayo tunao yapitia kwenye ndoa ndo yanao tufanya kua wanaume kamili.......ndoa ni zaidi ya mtihani husasani kama hujajipanga kifedha vizuri wanawake wanataka huduma tu, sio kingine
 
Kwani wote walioingia kwenye ndoa walijipanga kwanza? Kuna watu wameoana wanalala chini au chumba kimoja na sasa hivi wako njema. Kuna walio oa wamejipanga na maisha yakawapiga saizi wako chali na wengine wamekimbiwa na wake zao ila wengine wake zao wamekubali kupambana.
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.

Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Ni sahihi mkuu acha tupambane Sina kibarua kwa sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujaoa huezi elewa hii kitu. Under ideal conditions uko sawa. But kwa ground vitu ni tofauti sana. Ukioa utaelewa.
Uzuri sioni kama kuna geni maana nimeshafanya simulation ya ndoa. Im highly experienced so hata napooa najua nini nafanya
 
Kwani wote walioingia kwenye ndoa walijipanga kwanza? Kuna watu wameoana wanalala chini au chumba kimoja na sasa hivi wako njema. Kuna walio oa wamejipanga na maisha yakawapiga saizi wako chali na wengine wamekimbiwa na wake zao ila wengine wake zao wamekubali kupambana.
Huo ndio uhalisia kabisa
 
Mimi nina mke ni takribani miaka 11 ila ni metenganisha pesa za mke wangu na zangu, zangu zina simamia majukumu yote ya familia bila kumtegemea huyu wife na lipa ada za wanangu nanua chakula cha fortnight, na fuel gari langu na nampa lifiti kila siku kazini kwake bila yeye kuchagia mafuta na aliniumi....... ni kikosa pesa nakaa ndani bila kumsemesha chochote anachangia sometime ila simuamambie ahsante sitaki mazoea ya kujishusha kwake.. ...mkuu na kushauri viapo vya kanisani viache uko uko madhabuhuni huku field mambo tofauti wanawake sio kabisa, kuna baadhi wana wasomesha ila mwishowe wana achwa kisa mme sio wa adhi yake.
Mkuu sasa huu ujeuri sasa. Sasa huyo mwanamke pesa zake anafanyia nini? Why asikae nyumbani kulea tu watoto. Wewe uprovide kila kitu?
 
Bora kua muangalifu kibla ya kujilipua kuingia ndoa, bila pesa mwanaumme hujakamilika
Mwanaume anayegopa ndoa kisa usumbufu wa wanawake atakuwa na elements za kike.

Mwanaume anayeoa ili wasaidiane majukumu na mke wake ana elements za kike.

Mwanaume anayeteswa na mapenzi ana elements za kike.
 
Huwezi kupewa majukumu ya juu bila kua na ndoa halal katika jamii zetu za Africa matharani huwezi kupewa cheo cha uraisi wenye kiti wa chama, ukikosa mke kiujumla jamii inakudharau sana, hayo tunao yapitia kwenye ndoa ndo yanao tufanya kua wanaume kamili.......ndoa ni zaidi ya mtihani husasani kama hujajipanga kifedha vizuri wanawake wanataka huduma tu, sio kingine
Mkuu tuko pamoja ila naona kama umeweka sana pesa mbele. Haipaswi kuwa hivyo.
Uanaume sio tu kuwa na pesa. Itakutesa hii mkuu
 
Kwa ambao hamjaoa nawashauri tu USITHUBUTU KUJIFUNGA GEREZA LA NDOA. fanya maisha Yako mwenyewe kama ni stress zitakuwa zako na utazitatua mwenyewe.
Mwanaume aliyefanikiwa akiwa hana mke ni Ian Khama tu wengine wote walikuwa na wake kabla.

Wanaume wengi wasio na wake walikufa vifo vya hovyo hovyo na wengi wao huonekana golikipa katoka wakifika uzeeni
 
Binafsi mimi msimamo wangu. Kama mwanamke anatoka nyumbani kila siku kwenda kazini ni sharti ajue majukumu yake kwenye familia. Kama hatoki (kama mke wangu) hapo ni sawa mimi na handle kila kitu.
 
Back
Top Bottom