Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
👍👍Hapo umenena 🤜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Hapo umenena 🤜
Sahii kabisa
Mwanaume Kuitwa Kichwa Cha familia sio kua na uwezo wa kukuna pumbu TU asbh.
Bali Ni uwezo wa kumhudumia familia yako, ya wazazi wako, na wazazi wa mkeo[emoji4][emoji106]
Wewe acha zako hizo buana, wizi ukò juu wenye matozo ya ajabu ajabu unatumia mzazi wako sh 15k kwnye simbaking tozo za serikali na kodi jumla ni 4000, huo ni zaidi ya wizi, ila raia bado wanaona watatoboa haya maisha, huwezi kushindana na serikali kwenye kipato hawana hurumaKwamba unahudumia wazazi wa mkeo. Na wako na mkeo ndo mana nchi hii haiendelei tunaibiwa pesa zetu za maendeleo kila siku barabara za mabonde watu wanatafuta kula na wakandarasi na kuiba hata pesa za sensa ili wafurahishe wakwe [emoji16][emoji16]
Wewe acha zako hizo buana, wizi ukò juu wenye matozo ya ajabu ajabu unatumia mzazi wako sh 15k kwnye simbaking tozo za serikali na kodi jumla ni 4000, huo ni zaidi ya wizi, ila raia bado wanaona watatoboa haya maisha, huwezi kushindana na serikali kwenye kipato hawana huruma
Unaweza kufanya risks analysis na hata ukawa na mitigation plan etc lakini kuna mambo yanakuja un expected, hapo ndipo mtihani upo. Lets say, umepata ugonjwa wa muda mrefu ambao utakupelekea kushindwa kuingiza kipato na hapo hapo akiba yako imeisha, what will you do kama sio mke ku take over majukumu.
Kinacho tufanya wa Africa kupokea dini tuwe kama mataira ni kudhani kwamba myths and rhotoics zinaweza kua practicle life ndoa na dini ni vitu viwili tofauti
Well said and explainable comment[emoji122][emoji122][emoji122]Backup za haraka haraka hizo hazina shida kwa mwanamke ata ku-support ni mda mfupi 1wk 1month 1year beyond that ni mtihani kwa mwanamke, ni vizuri contingency plan yako iwe broad and holistic
Ukiridhika kuwa wajibu wako ni kuitunza na kuilinda familia huwezi kufa mapema.Mmh mwanaume ukintatein huu uselfish wa wanawake kwamba chako chetu changu n changu..nakuapia utakufa mapema na mapressure na magonjwa mengn ya moyo...kama mshakua mwili mmoja ni jukumu la kila mmoja mme na mke kuchangia maendeleo ya famili pasi kutegeana.
Dawa imeishakuingia tayariKabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.
Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Sahihi kbsaaMkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.
Siku moja umekosa kuwa re-signed inakubidi ukae mtaani uanze kutafta mkataba kwenye club nyengine. Yule mke mmekodi nyumba masaki, ashazoe raha once and for all.
How do you deal na hio situation, will you call it quits? Huna namna ya kuendelea ku afford gharama. How would you go about it? Hela ndio imekata unaskilizia msimu ujao huku ulichosave kinateketea tu.
Kitakachofata utajiingiza kwenye madeni tu na mwisho utaanza kulia lia kama mzee Yusuph.[emoji23][emoji23][emoji23]! Maisha yanend yakibadilika choose wisely. Kuna kuumwa, kuna kukosa kazi, kuna mambo mengi nje ya uwezo.
Mke yuko kwenye nafasi ya kusolve ila hafanyi hivyo. Would you be happy?
Exactly mkuu, utaishi kwa amani bila kutegemea mtu, ila akijitokeza wa kukusaidia ni kama bonus kwako, ni wanake wachache wanalo jua kwamba kusaidia mme katika majukumu yake inaongeza upendo kwake na performance kwenye ndoa yake.Ukiridhika kuwa wajibu wako ni kuitunza na kuilinda familia huwezi kufa mapema.
Ila usisahau kula Bata na raha zingine ndogo ndogo sababu ya kutunza mke na watoto wake.
Usiishi maisha ya mke na watoto wake.
Tafuta hela.
Hakuna mwanaume analaumiwa kwa kutafuta hela.
😁😁😁Ukitaka mtu sahihi oa aliyezaliwa mwaka 1970- 1976 hivi
Kanisa ninalosali Mimi linafundisha cha mke na mme kinachanganywa na kuwa kimoja kwa vile mme na mke Ni mwili mmoja.Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.
Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Hizo religious rhtorics utuliza waumini ila uko sio kweli practically talaka zinsingekua zinatokea,...kwasbb ni mwili mmoja mkeo akizini na wewe utakua umezini? Au wewe ukizini na mkeo atakua amazini?Kanisa ninalosali Mimi linafundisha Cha mke na mme kinachanganywa na kuwa kimoja kwa vile mme na mke Ni mwili mmoja.
Kwa hio Biblia ilvyosema mme na mke Ni mwili mmoja unapinga mkuu?Hizo religious rhtorics utuliza waumini ila uko sio kweli practically talaka zinsingekua zinatokea,...kwasbb ni mwili mmoja mkeo akizini na wewe utakua umezini? Au wewe ukizini na mkeo atakua amazini?
MUNGU ndie Ni mwazilishi wa Ndoa, wanandoa wanapofuata kanuni na taratibu za ndoa za KIUNGU, hio ndoa lazima itakuwa tuu mzuri maana inafuata taratibu za MUNGU, mmoja hataweza kwenda kuzini nnje Kama wote mnahofu na MUNGU.Hizo religious rhtorics utuliza waumini ila uko sio kweli practically talaka zinsingekua zinatokea,...kwasbb ni mwili mmoja mkeo akizini na wewe utakua umezini? Au wewe ukizini na mkeo atakua amazini?
Mkuu unalo sena ni kweli 100% ila haitekelezeki, watu walisha asi dini zamani hayo yote ilibaki kama mapambo ya ndoa, wanawake wengi huona waume zao kama competitor wa maisha, wanapendwa kwa kuwahudumia ila sio kwa ajili ya Mungu.MUNGU ndie Ni mwazilishi wa Ndoa, wanandoa wanapofuata kanuni na taratibu za ndoa za KIUNGU, hio ndoa lazima itakuwa tuu mzuri maana inafuata taratibu za MUNGU, mmoja hataweza kwenda kuzini nnje Kama wote mnahofu na MUNGU.
Na mwingine hata mfanyia mwezie kitu kibaya mkuu.