KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee!
Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa epuka sana kuoa mwanamke Kisa HISIA ZA MAPENZI na KISA KAKUTUNUKU TUNDA ukadhani unapendwa. Kuna jamaangu mmoja kapata ajira za UTUMISHI ni Mwalimu Kishapu Huko kwasasa aliajiriwa Shule moja private mkoa X kabla ya Kwenda government mwezi uliopita.
Kwenye Shule iyo X Iliyopo mkoani Mbeya akakutana na Binti mmoja secretary Wana share kabila na Uyo binti. Binti Alikuwa chakula chá Mwenye Shule na pia Kagawa sana Kwa walimu pale Kwenye Shule X. Jamaa akafika akajiingiza Kwenye Penzi la Siri na yule Binti ( Kumbe watu wanamchora na wakaogopa kumwambia Kuwa ni chakula chá boss) maana Jamaa Alikuwa na Sifa sana na kujipendekeza Kwa boss Hadi akapewa cheo na salary top up ( boss pia hakujua Kuwa ana share na Jamáa the same drilled path)
Jamaa akaamua aende Kwa Binti kimya kimya kujitambulisha Kwao baada ya kupata AJIRA government. Na kuondoka na mwanamke Kwenda Naye Kishapu. Boss akaja kujua badaye Kuwa walikuwa Wana share na boss Bado akawa anaendelea na mahusiano na yule Secretary wake.
Juzi nimepigiwa simu na Jamáa analalamika Kuwa hamuelewei mke wake maana kafuma chatting za MKE wake na namba Ambayo baada ya kuichunguza akagundua ndo Ile ya boss wake wazamani. Kumbe Boss kafata TUNDA HADI KISHAPU Huko na amemkula Tena Hadi ambavyo Binti kaolewa. Jamaa anatamani amwache binti amuoe mwanamke aliye zaa Naye Enzi anasoma Chuo kikuu DODOMA Lakini ndo Kesha oa jipu hilo.
Kwa wadogo zangu mnaotaka kuoa usikurupuke kuoa Kisa HISIA ZA MAPENZI na UTAMU WA KITANDANI. MUOMBE MUNGU NA BE SMART IN YOUR SELECTION. Binti unaoa ana Miaka 28 uko we ujiulizi Kwanini wengine hajamuoa Hadi anafika uo úmri.
KILA LA HERI JKT TANZANIA pale mkwakwani leo.