KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Nilivyoona huu ujinga nimeachana na kusoma uzi wenyeweSalamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee!
Ndiyo anazo maana Tuko kumcheka apa aisee Kwenye group la Whatsapp la kataa ndoa na yeye yumo japo hajui kama tunamsema yeyeJamaa ana taarifa umekuja kumuanika huku ?
Yule boss ni babako Kwann sa usichukieNilivyoona huu ujinga nimeachana na kusoma uzi wenyewe
KABISA mkuuKitu pekee kwenye mahusiano nimejifunza ni "usishike sim ya mwenza "
Inawezekana anakupenda vizuri ila ukishika sim yake just for a single day lazima ndoa ife
Unaongea ujinga sana mwanetuYule boss ni babako Kwann sa usichukie
Respect me... By my age am your fatherUnaongea ujinga sana mwanetu
Ilibidi wafungwe 10 zote za Camala HarrisBado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana.
Ndio especially bodaboda wana mafaili ya kila mwanamke malaya wa mtaa, ongea nao vizuri watakupa kila data za ulienaeukiwa mtu wa kuongea na wana,wanakupa faili lake lote.
Acha uwoga ww shika Simu ujue mapema ,ili ukate BIMA ya maumivu harakaKitu pekee kwenye mahusiano nimejifunza ni "usishike sim ya mwenza "
Inawezekana anakupenda vizuri ila ukishika sim yake just for a single day lazima ndoa ife
Ukishika simu tambua hio ni transformer yenye volt za kutosha km upo tayari kujichimbia chini futi 6 shikaKitu pekee kwenye mahusiano nimejifunza ni "usishike sim ya mwenza "
Inawezekana anakupenda vizuri ila ukishika sim yake just for a single day lazima ndoa ife