Kijana usikurupuke kuoa mwanamke usiyemjua vizuri

Kila siku msamiati mpya kwa kitu kile kile!
Leo mmekuja tena na 'grilled path', what for?
 
Kitu pekee kwenye mahusiano nimejifunza ni "usishike sim ya mwenza "
- Kinachotakiwa ukiwa katika utafutaji, Hakikisha katika mazungumzo yenu ya awali atambue wazi kuwa hakuna Privacy mkisha kuwa kwenye mahusiano, Simu yake inakuwa kama yako, na simu yako inakuwa kama yake.

- Yeyote yule atakayepita kwenye hiki kipengele, kuna uwezekanao mkubwa akawa hana makando kando mengi.

- Ila ukisikia kama ni hivyo basi tuachane, siwezi kukupa simu yangu. Sema Amina - Hapo umeepuka mengi, hakufai huyo.
----
Angalizo: Hili ni kwa yule tu una malengo naye, Kufanya naye maisha.
 
Hii point ya msingi sana tena imenyooka km rula
 
SIKUHIZI HAKUNA NDOA NIKUCHUKUANA TU NDO MAANA USALITI UNAONGEZEKA KINGINE WANAWAKE WAMEGEUKA WAO NDO VICHWA VYA FAMILIA NDO MAANA USALITI UNAONGEZEKA MWANAUME ANASHINDWA KUMUONYA MWANAMKE NDANI...MAFUNDISHO YA KIROHO TUMEYAPUUZA NDO MAANA HOFU YA MUNGU IMEPOTEA HVO USALITI LAZIMA..TAMAA NAYO INACHANGIA KUTOKANA NA MAZINGIRA TULIOKULIA N..UTANDAWAZI UMETUHARIBU TUNAKOELEKEA ZAIDI MWANAMKE ATAKUWA NA NDOA MBILI KWA WAKATI MMOJA NIOMBE VIONGOZI WA DINI WAKAZANE KUPAMBANA ULIMWENGU UNAELEKEA MWISHO KARIBU MDANGANYIFU KWA WANADAMU ATATANGAZA USHINDI....SASA JIULIZE NDOA ZAMANI ILIKUWA NI WAJIBU LAKINI SAHV KUNA KIKUNDI KIJAJIITA KATAA NDOA, NDOA NI UTUMWA NA UTAPELI..UKOMBOZI UNAHITAJIKA TUNAANGAMIA.
 
Kitu pekee kwenye mahusiano nimejifunza ni "usishike sim ya mwenza "
Inawezekana anakupenda vizuri ila ukishika sim yake just for a single day lazima ndoa ife
Kwaiyo uache aliwe tu Cha muhimu usijue au sio
 
Kuoa ni suala pana kuliko maelezo.......ndio maana kwa sasa talaka ni kama zoote.....zamani kuoa lilikuwa ni suala la kifamilia zaidi.....wazazi walihusika pamoja na kushauri pale sawa...au pale mwiko...na kulikuwa na sababu zenye mashiko........
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…