Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Hiyo ajali kazini itakutesa sana, unaweza kukuharibia hata mipango yako ya maana
Inatokea tu. Ajali kazini
Inatokea tu. Ajali kazini
Wapo wanaohudumiwa vizuri tu na bado wanaleta timbwili.Muwezeshe mamaake ili aendelee kumhudimia mtoto kielimu, mavaxi chakula n.k itapunguza changamoto, bila hivyo itakuletea shida
Mishangazi utuache kidogo napenda mishangaziMkuuu naandika haya huki machozi yananitoka..😥😥😥😥🙌🙌
Shauri vijana pia sio kuzaa nje ya ndoa tu hata hi ya kuishi na wamama au mishangazi waache waaache.mimi ni muhanga naongea haya nikiwa bagamoyo kwa awadhi
Ni kwenye watoto wote ni sawa lakini ujue mazingira ndio yanawatofautisha mtoto wako ambaye upo nae karibu hawezi akawa sawa na mtoto wako ambaye anaishi nje na muda analelewa na mtu bakiWatoto wote ni sawa
Matatizo hiloKatika kosa ninalolijutia ni hili, huwa linanipa mateso makubwa sana.
Ukizaa nje ya ndoa halafu mzazi uliyezaa naye akawa hana akili timamu na adabu atakutesa kama una familia stable bora hata asiijue tu.
Ntasema yote mkuu ngoja nikitoka kwenye hiki kifungoFunguka mkuu
SawaNtasema yote mkuu ngoja nikitoka kwenye hiki kifungo
Navipi wale wanaoa vizur mke ajipata ujauzito wapo akijifunguatu wanakimbia hii nayo imekaaje?Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa!
Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Mtoto ambaye umemzaa unaishi nae kwenye ndoa ni tofauti na ambaye upo nae mbali mamlaka juu yake unakuwa hauna upo kwa mzazi uliozaa nae na baba wa kambo wewe huoni utofauti hapo?Hv kwa kuangalia watoto, unaweza kujua huyu n wa nje au ndani ya ndoa?
Kama haiwezekani, bc hakunaga kitu kinachoitwa mtoto wa ndani/nje ya ndoa.
Neno ni TafadhaliTafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa!
Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Mimi ndio huwa nipo makini sana ndio maana Sina mtoto mpaka nioeHuu uzi umenifundisha jambo nililokuwa sijui.
Mbna hili jambo kama weww umefurahiSawa
Pambana mzee baba.