Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Uko sahihi kabisa mkuu,nakubaliana na wewe kwa yote ulosema hapa ila kuishi upweke nalo ni tatizo ndo mana nikashauri kuishi na mwenza kwa style itakayosaidia kuepuka changamoto hizo.
Mfumo tayari uneshasukwa dhidi ya mwanaume. Hivi unajua mkiishi kwa miaka miwili kisheria tayari hiyo ni ndoa hata kama hajamsainishana makaratasi
 
kiruuu kumbe mndu wa kaa/kanyi
 
Mfumo tayari uneshasukwa dhidi ya mwanaume. Hivi unajua mkiishi kwa miaka miwili kisheria tayari hiyo ni ndoa hata kama hajamsainishana makaratasi
Kweli mfumo ni kandamizi kwa mwanaume.
TUkianzisha makelele huku mtandaoni wanaweza kubadili hizi sheria.
 
Bahati mbaya inaonekana wewe ndio unadhibiti hayo mahusiano. Huyo bwana (sio mume) wako ni fuata upepo. Au la wewe ni kiraka katika ndoa ya mtu haiondoi ukweli wa kuwa mchepuko
 
kiruuu kumbe mndu wa kaa/kanyi
Manka is
Bahati mbaya inaonekana wewe ndio unadhibiti hayo mahusiano. Huyo bwana (sio mume) wako ni fuata upepo. Au la wewe ni kiraka katika ndoa ya mtu haiondoi ukweli wa kuwa mchepuko
wewe kumuita bwana,lord,master au vyovyote haitabadilisha kuwa kwangu ni mume.
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye utimamu kichwani atakubali mwanamke ndie adhibiti mahusiano yeye awe fuata upepo.Huyo nae wakiitwa wanaume atatoka!

Kama yupo ,huyo hanifai..Mimi nataka mwanaume anayeniongoza.
 
ndoa yako yenyewe mguu upande alafu unataka tuingie huko,wanawake ndio wanapiga ngoma sisi tunaimba.
 
Una delusions mpaka aibu, points chache nilizookota kwenye maelezo yako..
1. Una ubinafsi sana kusema "tumali twangu" on top of that huna busara au maarifa hv hata kama una tumali si unaweza cheza chini on the low mtu asijue kwanza ndo apambane asijue kuna bwerere.
2. Una kiburi na ubabe kisa king'ast/boytoy anakaa kwako aisee hakohoi humo yuko under microscope one mistake virago mlangoni.
3. Umejioa, kikweli umechoka kusubiri kufatwa so umelenga jamaa mmoja dume suruali pia kauli zako kusema akizengua apite hivi ni wazi mileage inasoma si haba you've been around da block commitment mtihani kwako.

Mwisho acha fix za kitoto na kujimwambafy tumali twanguu ungekua Samia wewe? Na ndo mali zake zoteee still ni mke wa pili ila we ulivo na inferiority eti akiingiza mtu wa 3 ntakua mwanamke from hell, be real hudumia penzi hilo punguza ngenga ushakiri ulikua mpweke sana. NB uzinifu na ndoa takatifu abadani havifanani.
 
Mwili wa kijana aliye balehe ni kama puto, likipigwa na jua ama lipaasuke ama litoe upepo kama pancha, hivyo kijana asipooa atapiga "puchu" ambapo baadae jogoo hatawika kabisa, sasa bora lipi, apige puchu ama aoe?
 
Nyenye nyenye nyenye
 
Ukikataa na uzinzi uache.njia ya kuacha ni kuokoka kwa jina la YESU KRISTO.Adsnte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…