prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,297
- 2,596
- Thread starter
- #221
Sahihi mkuu.Kwa maelezo yako, inaonesha ni kwa jinsi gani hizi sheria za kizungu zilikuja kuharibu taasisi ya ndoa.
Mambo ya "Haki sawa kwa Wanawake" yalipaswa yaje na "Inclusive" and "Exclusive" "Factors" endapo ndoa itaenda mrama.
Mnachokifanya nyie na huyo jamaa yako ni ndoa ya kimila, ambapo mwanaume anaenda kutoa mahari kisha mnaanza kuishi pamoja.
Kimsingi kwa ustawi mpana wa jamii zetu, inatubidi turudi nyuma kwenye mifumo ya zamani tuchukue mazuri tuishi nayo, kisha tuende kwenye uzungu tuchukue mazuri yao nayo tuishi nayo.
Nakazia, Maisha ya ndoa ni matamu sana, asikudanganye mtu.
Okqy,sitasema tena nimeolewa sogea tukae naona u
imekaa kihuni,nitasema nimeolewa ndoa ya kimila.
Kwanza hata Adam na Eva si ndoa ya kimila ile.
Hawana hata cheti cha ndoa wale.