Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Mfano wa kwanza nilotaja mali kwa jina la Denno, una utofauti gani na mfano wa pili nilotaja mali kwa jina langu?

Umeignore mfano wa kwanza umerukia mfano wa pili unaonitaja mimi “mwanamke”

Please comprehend, comment nzima ilimaanisha mali zilizopatikana kabla ya ndoa kuna sababu kwanini huwa hazigawanywi!
Mtu kama huyu mkiachana atakupotezea sana muda mahakamani kisa mali na ukishinda atakata rufaa na hapo utakuta anqgombea kajumba ulipewa na babu yako
 
Noo jamaa Kaongea point nzuri na ya msingi wewe kinacho kufanya ukumbatie hiyo nyumba in the name of kusidiwa ujenge ni nini? If it's for helping y'all na watoto kwa nini uwe na mentality ya kukumbatia!!!

Wanawake wengi mmekaa kitapeli tapeli sana.. Why y'all living in survival mode kila muda? Yaani mnachekesha sana. Hiyo nyumba mme wako Haku husika? Na hata kama Haku husika kwa nini isiwe yenu wote kwa sababu mnaishi wote?

Vipi mumeo angekuja na hiyo mindset??
Unasema wanawake tumekaa kitapeli wkt kataa ndoa wengi ni wanaume.Na hoja yao ni kuhofia kutapeliwa mali zao ila huoni kama wanachekesha wala kukaa kitapeli ila kisa binti kiziwi na mm ni wanawake tukihofia tumali twetu kutapeliwa unatuona tunachekesha na tumekaa kitapeli.
 
Mwanaume kuoa ni upumbavu ushamba uwendazimu na kujifungia gerezani na pia kujimaliza kiuchumi.
Mwanaume umeletwa duniani kuinjoi viburudisho ambavyo ni wanawake, ndio maana watu wanasema Mwanamke ni chombo cha starehe.
Mwanaume umeletwa duniani kuzalisha tu, wanawake wapo wengi sasa wewe kwanini uwe mbinafsi umfungie mwanamke mmoja au wanne ndani?
KATAA NDOA NI UPUMBAVU NA KUPOTEZEANA MUDA
Ukifika umri kidushe chako hakisimami starehe yako ingine itakua nini?
 
Hii dhana ndio potoshi.

Ulikuja Dunian hauna kitu na utaondoka hauna kitu.
Wote wawili mkeheshimiana bas mtakaa kwa furaha pamoja. Iwe ni masikin au matajiri.

kushirikiana kwenye maisha kuko. Sembuse hii ya kwenye ndoa?.
Mali ni za watoto. Mkishaamua namna hiyo mtaishi kwa aman.

Alaf wanaume wanaoogopa ndoa kwa kusema watatapeliwa mali wakiachana . Hawana hata hizo mali 😊😊😊😊 ni kujipa moyo na propaganda yao ya kataa ndoa.

mm niko Team Ndoa
kumbe hawa kataa ndoa ni makapuku tu.
Anyway,ndoa yenye amani ni kitu kizuri sana
 
Yes, Nilipata hii eksipiriensi nikiwa nimehudhuria shauri la divorce ya kaka yangu wa kambo 2019, sikuwa nimekomaa sana kiakili lakini nilielewa baadhi ya vitu, ndio maana nimeomba wana sheria waje watuelezee kisheria since they know better.


Yes uwezekano wa kuingia na mawigi na kutoka na mawigi upo au kuingia na boxa na kutoka na boxa…… But under one circumstance kama hakuna kilichochumwa kipindi cha ndoa. (Matrimonial properties)

Kama huwa nawaelewa kataa ndoa vizuri; huwa wanapinga 50/50 katika mgawanyo wa mali (mali za ndoa) Sababu ya mchango wa kiuchumi katika kupatikana kwa hizo mali, Imagine mfano mtu mcheza mpira, analipwa mamilioni, ameoa mrembo amenyooka ambaye wamekubaliana awe stay at home mom, kazi yake ni kumfata mumewe mpirani Ikija divorce iweje mtu huyu atake 50? Mtu kama huyu yuko eligible kupata mgao ila sio 50 atleast kwa maoni yangu.
Okay.

Hakika wanasheria watusaidie hii ni elimu muhimu.

Hiyo 50 50 hata mm sikubaliani nayo.
Sio fair.
 
Unasema wqnawqke tumekaa kitapeli wkt kataa ndoa wengi ni wanaume.Na hoja yao ni kuhofia kutapeliwa mali zqo ilq huoni kama wanqchekesha wala kukaa kitapeli ila kisa binti kiziwi na mm ni wanawake tukihofia tumali twetu kutapeliwa unatuonq tunqchekesha sijui tumekaa kitapeli.
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
 
Hata hiyo prenup nayo ni mtego ikimkuta mwanaume hajakaa kitaalamu. Cha msingi kwa kuwa baadhi ya wanawake mshagundua sheria ya ndoa ni kandamizi kwa mwanaume. Basi unganisheni nguvu kuamasisha sheria ifumuliwe na kusukwa upya ili kuendana na zama hizi za usawa wa kijinsia, na sio kutaka mwanaume afanye gamble ya ndoa wakati mzizi wa tatizo bado upo. Masuala ya child support, custody, divorce alimony na mgawanyo wa mali yamaumiza sana wanaume.
Uko sahihi kabisa mkuu.
Tunapaza sauti kama hivi japo ni ngumu kupata support ya wanawake wengi.Wengi wanafurahia sheria hz kandamizi kwa mwanaume coz zinawanufaisha.
 
Unadhani watu wengi wanaojiita kataa ndoa, na watu single, wanapenda kuwa single? Ni maisha tu yanawalazimisha kuwa hivyo

Kupata life partner mtakaeendana sio rahisi kwa watu wengi..tena mahusiano mengi sikuhizi yanaishia kwenye talking stage prida
I know dear ila basi iwepo nia ya kujaribu.Na pia kama mtu amekata tamaa kabisa ya kupata mwenza sahihi basi asiiwakatishe moyo wengine wenye matumaini ya kupata wenza sahihi.Utamaduni wa kuishi pekee pekee sio mzuri ila kama mtu kajikuta maisha yamefosi aishi alone hapaswi yeyote kumhukumu
 
Kwa maelezo yako, inaonesha ni kwa jinsi gani hizi sheria za kizungu zilikuja kuharibu taasisi ya ndoa.

Mambo ya "Haki sawa kwa Wanawake" yalipaswa yaje na "Inclusive" and "Exclusive" "Factors" endapo ndoa itaenda mrama.

Mnachokifanya nyie na huyo jamaa yako ni ndoa ya kimila, ambapo mwanaume anaenda kutoa mahari kisha mnaanza kuishi pamoja.

Kimsingi kwa ustawi mpana wa jamii zetu, inatubidi turudi nyuma kwenye mifumo ya zamani tuchukue mazuri tuishi nayo, kisha tuende kwenye uzungu tuchukue mazuri yao nayo tuishi nayo.

Nakazia, Maisha ya ndoa ni matamu sana, asikudanganye mtu.
 
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
VP ikiwa mwanamke ndo anafanya hayo?
 
Unajua kwa nini wanakimbia?
Kwasababu mali tunatafuta sisi wenyewe then nyie mnatuchukulia nusu na bado watoto tuhudumie sisi
VP ikiwa mwanamke ndo anayefanya hayo uliyoyaorodhesha?
 
Back
Top Bottom