Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Yana kuzwa mno na wanao yakuza wapo kwenye ndoa na wanashikia bango mno
Wangekua wanateseka wasingeshauri wengine waingie.

Wanaopinga ni wale walioshindwa sasa wanataka kukatisha tamaa watu wote.
Kuna watu wanafurahia ndoa wewe.Kila siku ni party kwao.Usiombe ukutane na couple u
inapendana na kuendana.Maisha yanakua so schweet😃
 
Ni kitisho na kinawasaidia, utasikia mke anakwambia, mbona kitu flani hujaniandikisha, mbona kitu flani sikijui,ukifa je itakuwaje?? 😊
Wao wanaamini kufa ni ishu kubwa sana, na wa kufa ni mwanaume tuu! 😊
INawasaidia wake wa wanaume wajinga.
 
Mimi nilikuwa najibu fact ya min -me , kwamba hiyo sababu ya kufa bila msaada ni ya kufikirika, haina uhalisia na hai "make-sense". Sasa hujaelewa nini hapo?
THough sio main point yangu ila pia sio sbb yakufikirika.
 
Naona mleta maada amesha kula nyingi za uso kaacha uzi wake 😂😂
NIlitegemea upinzani huu so nilijiandaa kisaikolojia.Wako wengi so sikutegemea any positive reaction ila sikati tamaa.Sindano ndo kwanza ya kwqnzq..Dozi ikiisha "wagonjwa" wangu wote watakua wamenielewa.Na daktari mkuu ni muda.Hawa vijana watatia huruma sana uzeeni.Imagine kuhudumiwa na maid aso na upendo na wewe anafanya tu apate mshahara.
 
KUwa lifetime bachelor ni laana.
Ni kusaini mkataba wa maisha ya huzuni
 
Ofcoz kifo ni kifo uwe peke yako au na umati ila ukiwa peke yako unaweza kufa kwa kukosa msaada.
So kataa ndoa mbali ya kufa mapema kwa upweke pia huweza kufa kibudu😃 kwa kukosa msaada.
 
Sasa hizo mali unazohofia kupoteza ni kwa ajili ya nani?

It means wewe ni mtu ambae huamini ndoa yako to the extent ya kuficha mali zako?

Wewe una familia kweli?
Mali ni kwa ajili yangu na wote niwapendao ila siko tayari kwa ndoa rasmi sbb sitaki tukiachana mume wangu afaidike na mali nilizoteseka mimi kuzipata.

Ni kweli siamini ndoa sbb miimi ni mtu mzima.Sijavunja ungo jana hata nipende kijinga bila kutumia ubongo.Najua mapenzi haya yaliyotamalaki leo "god forbid' yanaweza kuisha siku yeyote.Ikitokea yameisha basi nipoteze tu mume ila siko tayari kupoteza mume na alivyonikuta navyo mume.
Ote mae.HAPANA.

Nina kafamilia kazuri sana.
Iam blessed🙏
 
Mbona sikuelewi na wewe, kwamba mali umepambania wewe?
But that's your family, ukifa nani achukue?

By that age, Sidhani kama utakosa maturity ya kujua umuhimu wa familia yako na kuacha ubinafsi.. Sasa kumbe you're a parasite.

If that's so then why aren't you committed? Nyie ndo huwa na viburi ukipata mtu wa kukun vizuri nje unamwacha mume na watoto kwa sababu ya kiburi
 
."...hawakuonyesha kujutia..." umetathmini kwa unqchokiona nje ila trust me hakuna anayefurahia kuishi upweke.Sio maneno yangu ni studies zimefanyika.Its not human nature.Hata mbwa ambae ni group animal hufa kwa sonona ya upweke.Paka ndo anaweza ishi kwa furaha bilq kampani.

Hao watu wa huko maulaya wanaugua mqgonjwa mengi ya ajqbu sbb ya upweke.Wanaishi kwa madawa.
Siombei Afrika tufikie huko..Wengi wao ni mqchizi fresh.
 
Sikatai ila ndoa , tulikua tunavutiwa nayo kwa sababu ililindwa na mfumo dume now hakuna jipya
 
Najua jibu ni changamoto za ndoa ila ndo mana nashauri sogea tukae ili mtu akizingua anaondoka.Kisa gani mtu ashinde bar kisa mtu anayeweza kuwa replaced?Mambo yq hadi kifo kitutenganishe ni old school.
Hiyo sogea tukae na kuachana sioni umuhimu wake, ni bora tujikite kuzichnga shekeli ndio dawa ya upweke
 
Kuwa ninapenda mali zaidi ya ndoa ni kweli uko sahihi.Wanawake wote ndoto yetu ni siku moja kuvaa shela zuri jeupe ila nimekataa shela sbb napenda nilivyovihangaikia bila msaada wa yeyote kuliko ndoa.Na kweli akili yangu iko kwenye mali zangu zaidi ya kwenye dushe lake.Dushe and pussy can easly be replaced ila unadhani upoteze kitu kama jengo/nyumba ni rahisi kupata kingine kwa muda mfupi ?

Pia "mume" wangu sio kwa ajili ya chochote zaidi ya mapenzi na sio sbb yakumtumia kutafuta heshima.Kama ni heshima ninayo na haitokani na yeyote..Hata nikiachika leo bado jamii yangu itaendelea kuniheshimu.

Nimekuelewa.
Hope nawe umenielewa🙏
 
Bado hujakuwa kifikra kumbe?
How can you bring money before family? Nilikua njua zimo kumbe na ww ni pungu tuu
 
Aisee sijui kama mwenzio anaujua huu msimamo wako!, so, ukimuita "baby" kumbe moyoni unamaanisha "babu".

Nowadays ndoa za kweli zimebaki kwa ajili ya wasio na mali wakachume pamoja!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…