Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Mamlaka zinasemaje kwanza kabla ya sisi kukushauri? Nadhani fanyia kazi maamuzi uliyochukua, hatua za kisheria zichukuliwe kisha mtoto aepushwe na uraibu. Sio dunia salama hii.
 
Dogo anatembea kiume,amebarehe,anazungumza vizuriii kabisaa hana neno na na huwezi mzania
 
Yani hawa ******* inabidi wanapogundulika tuwe tunawachoma moto kama wezi wanavyofanywa ili jidhamu iwepo
 
Anaogopa kusema!!!

Kwasababu yawezekana ni mwanafamilia aliepo hapo!

Aibu hii!!?

1.Baba2.kaka3.mjomba4.mwalimu 5..!

Naona aibu kuu!!

Aiseh!
 
Rafiki yangu ambae ni baba wa mtoto yuko nje ya nchi kwa masomo.

Nimewaza kwenda shule kwanza kuongea na walimu wanipe abcd za mtoto.

Kuna ushauri wako umenipa utanifaa pia.

Nashukuru sana rafiki.
Kuanzia shule pia sio mbaya, ila vipi kama mwalimu wake anahusika, utaharibu ushahidi.
Mchunguze wewe kimya kimya.
Kikubwa fanya hivyo tengeneza urafiki, tengeneza kisa cha kizushi kikiendana na yeye dogo, mtengeneze kiakili, uchote taarifa kiakili, na suala ulishughulilie vizuri, liishe kiakili..
Kwa kufanyiwa jambo hilo dogobatakuwa hayupo sawa kiakili, ukilimaliza hilo, ufanye kazi ya kumrudisha dogo mchezoni, ajione mwanaume tena.
 
Kivyovyote Mfira*ji atakua ni muislamu tu
Kwa mujibu wa takwimu na ripoti mbalimbali, baadhi ya mikoa nchini Tanzania inaongoza kwa matukio ya ulawiti wa watoto. Mikoa hii ni pamoja na:

1. Arusha – Ripoti za mwaka 2023 zinaonyesha kuwa Arusha inaongoza kwa matukio ya ulawiti nchini. [1]

2. Mbeya – Mbeya ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto, ikiwa ni pamoja na ulawiti. [2]

3. Kinondoni (Dar es Salaam) – Eneo hili la kipolisi limeorodheshwa kuwa na idadi kubwa ya matukio ya ukatili dhidi ya watoto. [2]

4. Tanga – Tanga pia imetajwa kuwa na matukio mengi ya ukatili dhidi ya watoto, ikiwa ni pamoja na ulawiti. [2]

5. Mwanza – Mwanza ni miongoni mwa mikoa yenye matukio mengi ya ukatili wa watoto, ikiwa ni pamoja na ulawiti. [2]

Ni muhimu kutambua kuwa matukio haya mara nyingi yanahusisha watu wa karibu na watoto, kama vile walimu, walezi, majirani, na ndugu. [3] Hali hii inahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa jamii, serikali, na wadau mbalimbali ili kulinda haki na usalama wa watoto.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mikoa inayoongoza kwa matukio ya ulawiti wa watoto, unaweza kutazama video ifuatayo:

Mikoa iliyotajwa kuongoza kwa matukio ya Ulawiti Tanzania
 
Kivyovyote Mfira*ji atakua ni muislamu tu
Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2023 kutoka Jeshi la Polisi Tanzania na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), matukio ya ulawiti dhidi ya watoto yameongezeka kwa kiasi kikubwa. Kesi za ulawiti ziliongezeka kutoka 1,205 mwaka 2020 hadi 2,488 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 57 [1] .

Mikoa Inayoongoza kwa Kesi za Ulawiti wa Watoto (2023)

1. Arusha – Kesi 728
2. Mbeya – Kesi 710
3. Kinondoni (Dar es Salaam) – Kesi 681
4. Tanga – Kesi 607
5. Mwanza – Kesi 595

Mikoa hii inaongoza kwa idadi ya matukio ya ulawiti dhidi ya watoto nchini Tanzania [2] .

Sababu Zinazochangia

Kwa mujibu wa ripoti, asilimia kubwa ya ukatili dhidi ya watoto, ikiwa ni pamoja na ulawiti, hufanywa na watu wa karibu kama ndugu, walimu, walezi na majirani [2] .

Hatua Zinazopendekezwa

  • Elimu kwa Jamii: Kutoa elimu kuhusu athari za ukatili wa kijinsia na jinsi ya kuwalinda watoto.
  • Uimarishaji wa Sheria: Kuhakikisha sheria zinazosimamia ulinzi wa watoto zinatekelezwa kikamilifu.
  • Ushirikiano wa Wadau: Kushirikisha taasisi za serikali, mashirika ya kiraia na jamii katika kupambana na ukatili dhidi ya watoto.

Kwa taarifa zaidi kuhusu mikoa inayoongoza kwa matukio ya ulawiti wa watoto, unaweza kutazama video ifuatayo:
Mikoa iliyotajwa kuongoza kwa matukio ya Ulawiti Tanzania

Kama humu wanakaa kobazi sio makafiri basi itakua kweli usemalo
 
Mke wa rafiki yako alimwambia mumewe? Yeye na mumewe walichukua hatua gani? Kwanini mke wa rafiki yako akupigie?
 
Mke wa rafiki yako alimwambia mumewe? Yeye na mumewe walichukua hatua gani? Kwanini mke wa rafiki yako akupigie?
Ndio alinipigia mimi, mume wake yuko nje ya nchi nilimuuliza kuwa kama amemuambia mme wake akaniambia anaogopa kumwambia sababu yuko kwenye kozi asije akavurugika.
 
Nikimaliza nitamtafutia dem amchimbe kidodo.😂😂

Nitafanya hivyo mkuu, nilitoka kazini mapema naenda kuzungza nae kiaina.
 
Wekeni mtego jamaaa akamatwe na mtoto wakiwa eneo na tukioa ila haki itendekeee hakikisha .......jambo simple yaani akamatwe na mtoto ..la hivyo akitaja jamaa akakamatwa anaweza kana ......ila cha ajabu watoto si hizi wanaingiliana wenyewe so mtashangaa kuona ni mtoto mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…