Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
- Unafua nguo mwenyewe
- Unapiga nguo pasi mwenyewe
- Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
- Unajitandikia kitanda mwenyewe
- Unajiandalia chakula mwenyewe
- Unaishi peke yako
- Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k
Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.