Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Hivi kwa nini watu waliooa ndio huwa wanahangaika na ambao hawajaoa

kwa nini waliooa wanatamani watu wote waoe

Kwa sababu sijawahi kukutana na senior bachelor anawashauri waliiooa waachane na wake zao ili wawe kama wao. Ila siku zote Ni wale wenye ndoa wanapenda sana kutoa ushauri wa ndoa hata kama hawajaombwa
 
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-​
  • Unafua nguo mwenyewe​
  • Unapiga nguo pasi mwenyewe​
  • Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe​
  • Unajitandikia kitanda mwenyewe​
  • Unajiandalia chakula mwenyewe​
  • Unaishi peke yako​
  • Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k​
Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.​
Kufua nguo kuna washing machines, kufungua milango na mageti kuna mifumo ya automation unafungua geti kwa simu, kuna vitasa vya finger print na password, kuhusu kupika ni preference ya mtu unaweza kujisikia siku hio upike au uende mgahawani, isitoshe hivi sasa kuna appliances mbali mbali zinazorahisisha zoezi zima la upishi kama microwaves, ovens, toasters, rice cookers, pressure cookers , grills, sous vide machines, air fryers,multi-cookers n.k zinazorahisisha zoezi zima la upishi.

Kuhusu kutandika kitanda ,kuandaa chakula, kuishi peke yako, na kupiga nguo pasi ni mambo ya kawaida na kazi rahisi sana wengine hawapendi muingiliano na kelele zisizo na maana.

s-l960.webp

Kuna wengine wanataka ku focus zaidi kwenye goals zao, na hawahitaji yeyote kuwa kikwazo au kuingilia maamuzi yao.

Hakuna tatizo lolote ni preference za mtu tu...
 
Tafakari sana,kama wewe unafanyiwa yote hayo..karata zako ni chache sana..you don't have life..but you can't see.
Kuna mda nlikuwa teja kama wewe..bt it happened mke wangu akasafiri..nikawa napiga simu kuuliza kila kitu..hata chumvi sijui ilipo kwenye nyumba yangu mwenyewe. It was as if I am a stranger in my own house...
Learn to do some stuff by yourself
Ulideka kinyama! Sasa angepass over na wewe mwaka usingechukua ungeng'ata shuka 🤧
 
Kufua nguo kuna washing machines, kufungua milango na mageti kuna mifumo ya automation unafungua geti kwa simu, kuna vitasa vya finger print na password, kuhusu kupika ni preference ya mtu unaweza kujisikia siku hio upike au uende mgahawani, isitoshe hivi sasa kuna appliances mbali mbali zinazorahisisha zoezi zima la upishi kama microwaves, ovens, toasters, rice cookers, pressure cookers , grills, sous vide machines, air fryers,multi-cookers n.k zinazorahisisha zoezi zima la upishi.

Kuhusu kutandika kitanda ,kuandaa chakula, kuishi peke yako, na kupiga nguo pasi ni mambo ya kawaida na kazi rahisi sana wengine hawapendi muingiliano na kelele zisizo na maana.

s-l960.webp

Kuna wengine wanataka ku focus zaidi kwenye goals zao, na hawahitaji yeyote kuwa kikwazo au kuingilia maamuzi yao.

Hakuna tatizo lolote ni preference za mtu tu...
Ni sahihi baba mwenye familia kupikia watoto na kuosha vyombo?
 
Huwezi mfanya mke mtu usiyempenda na wala huoni future nae.
Wewe tafuta mfanyakazi anakuja mara mbili kwa wiki au mara 3. Siku ukipata mke utajua tu mwamba huyu ni mke wangu.
Ngoja nifanye hivyo, maana hizu house chores ni balaa.
 
Back
Top Bottom