Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Kutakuwa kuna tatizo, kwa nini akatae ndoa wakati hisia anazo?
Hisia za ndoa 😁😁😁😁😁 kumbe kuna hisia za ndoa siku hizi ...maana kama ni hisia za sex hata kataa ndoa wanazo na wanafanya sex na watoto wanazaa ila ni nje ya ndoa ...tatizo lako mleta uzi ni akili za ko finyu umeshindwa kujua tofauti ya kataa ndoa na kataa sex ........kataa ndoa awajakataa sex wao wanafanya sex hadi na huyo mke wako 😁😁😁 kuhusu kufua ..kupasi ..kufagia si unaweka house girl hata 2 na house boy 1 au utakavyo na uwezo wako kifedhq ....tumia akili
 
Tumia akili ...kataa ndoa siyo kataa sex
Kama wanafanya tendo ambalo halina baraka, ni sawa sawa na wanyama tu; leo anaruka na mtetea wa kijivu, kesho na mtetea mweusi.
Tunasema, huo ni uhuni; kijana wa miaka 40+ hatakiwi kuishi kama digidigi.​
 
Mamb ya mahusiano ni magumu mkuu.unakuta huyo jamaa wa 40+ alipigwa tukio.
 
Kwa hiyo walio oa awawezi au awafanyangi uhuni 🙄🙄🙄
 
Mamb ya mahusiano ni magumu mkuu.unakuta huyo jamaa wa 40+ alipigwa tukio.
Wanasema, safari moja uanzisha nyingine; kupigwa tukio, iwe ni sehemu ya mafunzo ili kuweza kusonga mbele.
 
Kama wanafanya tendo ambalo halina baraka, ni sawa sawa na wanyama tu; leo anaruka na mtetea wa kijivu, kesho na mtetea mweusi.
Tunasema, huo ni uhuni; kijana wa miaka 40+ hatakiwi kuishi kama digidigi.​
Kama wana vitendea kazi na vinafanya kazi iliyokusudiwa basi baraka zipo
 
Back
Top Bottom