Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Hivi watu wakioana ni lazima waishi under the same roof. Je inawezekana kila mtu aishi kwake then tukitaka kukutana tunachagua wapi pa kukutania? Just thinking out loud 😁😁😁
Mkuu, Watu wanaishi nyumba moja na wameamua hawaongei mpaka wageni ishindikane vipi hilo la kukaa mbali?
 
Hivi watu wakioana ni lazima waishi under the same roof. Je inawezekana kila mtu aishi kwake then tukitaka kukutana tunachagua wapi pa kukutania? Just thinking out loud 😁😁😁
vc.jpg
 
Tafakari sana,kama wewe unafanyiwa yote hayo..karata zako ni chache sana..you don't have life..but you can't see.
Kuna mda nlikuwa teja kama wewe..bt it happened mke wangu akasafiri..nikawa napiga simu kuuliza kila kitu..hata chumvi sijui ilipo kwenye nyumba yangu mwenyewe. It was as if I am a stranger in my own house...
Learn to do some stuff by yourself
 
Back
Top Bottom