Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sana mkuuUhakika wasingekuwepo mademu wanaume wengi wangeoa maana ni cheap kuliko kumilik mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuuUhakika wasingekuwepo mademu wanaume wengi wangeoa maana ni cheap kuliko kumilik mwanamke.
Ndoa ni muhimu, chukulia mfano umepata ajali ukateguka kiuno, unafikiri ni nani atakuwa anakutawaza?Wanaume msidanganyike...
Kataa ndoa.... Ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani umasikini na kupoteza muda
JidanganyeWanaume msidanganyike...
Kataa ndoa.... Ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani umasikini na kupoteza muda
Mke anakukimbia mzee.Ndoa ni muhimu, chukulia mfano umepata ajali ukateguka kiuno, unafikiri ni nani atakuwa anakutawaza?
Una uhakika hatufanyiwi?Mbona huwa mnaenda kuwala ambao hawawafanyii yote hayo?
Hamfanyiwi. Mnawanunua kwa usiku mmoja wanawafanyia saa ngapiUna uhakika hatufanyiwi?
Wewe umeolewa au ndo gia yako ya kutafuta bwana?Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Yep . Hata padri anasimamisha kwa masistaHata ukiwa na mke hapo itasimama tu kwa mfanyakazi
Aisee☺️Hamfanyiwi. Mnawanunua kwa usiku mmoja wanawafanyia saa ngapi
Hapa panaweza kuwa na ukweli au lah! Lakini nachoamini kila Hali/jambo inachanzo. Si kila muda mhusika anakuwa hayupo sawa No.
Haya maisha sivyo unavyofikiria. Unaweza kuwa umeoa na ukawaona waliosingle kama wamechanganyikiwa hivi ila kumbuka kunakuachanaKama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Basi ulaya na huko Marekani wanashida kubwa zaidKama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Lengo lao lilikuwa ni kuharibu dunia, kuhamasisha mapenzi ya jinsia mojaBasi ulaya na huko Marekani wanashida kubwa zaid
Inabidi ukakanyage mafutaNafanya yote hayo sema umesahau kitu kimoja
"Natafuta pesa mwenyewe"
Kama Nina tatizo sio kesi maana duniani hakuna asiye na "tatizo"
Siku zote mtu mwenye kasoro hawezi kujua kama ana kasoro, mpaka pale mtu wa nje akuambie unakasoro.Mkuu amini nakwambia wewe ndiyo unatatizo mahala.