Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Anachohitaji ni mfanyakazi na si mke.Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Inabidi tuwashirikishe wazeeAcheni kupangia watu maisha yao.
Kutakuwa kuna tatizo, kwa nini akatae ndoa wakati hisia anazo?Kawaida tu, hasa kama ni mwanachama wa chama chetu cha kataa ndoa.
Wazee wana mindset za kizamani wahaelewi game hii imechange.Inabidi tuwashirikishe wazee
Unatakiwa utafute mbadala, vinginevyo tuambie; hisia zako huwa unazimalizia wapi?Kuna kijana wa 40+?
Sisi wengine wagane hatuna tΓ tizo mahali popote.
Kabisa, wengine wameoa Freedom and PeaceAnachohitaji ni mfanyakazi na si mke.
Anachohitaji ni mfanyakazi na si mke.
Kwamba mtu akikufulia nguo ndo nyege zinapanda juu yake?Aisee sasa si atamla mfanyakazi?
Haya mambo mke atakufanyia tu kwa upendo. Lakini eti utafute mke ili tu upate mtu wa kukufulia nguo lazima tupate bomu.Kabisa, wengine wameoa Freedom and Peace
Sasa je! Mwanaume anavutiwa na mwanamke anayemnyenyekea. Yaani anakula chakula na mpishiKwamba mtu akikufulia nguo ndo nyege zinapanda juu yake?
Ubavu wa kushoto ni muhimu sana, tofauti na hapo kuna maswali mengi ya kujiulizaAnachohitaji ni mfanyakazi na si mke.