Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

Ali Nassor Px

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,384
Reaction score
3,926
Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako.

Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako.

Kumbuka wewe ni tegemeo la baadae kwa watoto wako na ndugu zako. Muda unaotumia kujaribu kumbadilisha mtu ni vizuri ukautumia kujijengea future yako.

Kwa maana usitegemee kivuli kilicho nyooka kwenye mti uliopinda na usijione upo smart sana kichwani kwa kucheza na mwanamke kwa kujidanganya wanawake ni dhaifu. Wana akili na unachokifikiria na wao wanakifikilia hivyo ila wanachokifanyaga ni kutest akili yako kila mda.

Vitabu vya dini vinasisitiza kuishi kwa akili kwa sababu hawa viumbe wanamajaribu mengi sana. Hivyo basi katika majaribu yake kwako kama ukimshitukia atakuomba msamaha ila kama haujamshtukia hiyo itakuwa imekula kwako.

Vijana wa kiume kama unahisi utatumia nguvu kubwa sana kwa mwanamke kama haujamtongoza basi nashauri usimtongoze. Maana atakuja kukuendesha kiasi utapotea wewe na yeye pia atapotea.

Ila kama upo nae kwenye mahusiano we pambana naye, muombe Mungu tu huyo mwanamke asikutoe roho. Na kama unahitaji kuoa, basi hakikisha unaoa mwanamke ambae kwao chai mwanakunywa saa 6 kama wewe wa kiume kwenu chai mnakunywa saa 4.

Usije ukoa mwanamke ambae kwao chai mwanakunywa saa 2. Huyo siku ukikosa hakuelewi na pia haelewi maana ya kukosa. Lakini ukimuoa mwanamke huyo ndoa yenu kudumu kinachobaki zaidi ya hapo ukijikoroga tegemea tu neema za Mungu na upepo wa kisulisuli ufanye maajabu yake.

Maneno yangu kwa leo ndio hayo.
 
Whats up with this generation!?
Ndio kusema mabinti wanaenda kuwazidi vijana wetu wa kiume akili?

Men are born leaders, being a man means automatically you've power over women. Wanawake ndio wanafudwa namna ya kuishi na wanaume na sio kinyume.
 
Vipi mtoa mada, hii inawahusu pia wale wanaume wenye pesa ndefu?
 
Haya yalishatokea kwenye maisha yako? Au tukajarbu then turudishe feedback
 
Whats up with this generation!?
Ndio kusema mabinti wanaenda kuwazidi vijana wetu wa kiume akili?

Men are born leaders, being a man means automatically you've power over women. Wanawake ndio wanafudwa namna ya kuishi na wanaume na sio kinyume.
Sio kosa la vijana ni kosa lenu nyie wazee mlio wapa nguvu wanawake nyingi huku mkiwasahau vijsna na haya ndio matokeo yake
 
Mwanadamu hubadilishwa na
1. Wazazi wake
Hapa katika kukua kwake

2. Mungu
Hapa kama atajaza imani moyoni mwake

3. Circumstances (jambo la hofu)
Hapa kama akakumbwa na tatizo linaloweza kumtisha sana mfano kutishia uhai wake.
 
Whats up with this generation!?
Ndio kusema mabinti wanaenda kuwazidi vijana wetu wa kiume akili?

Men are born leaders, being a man means automatically you've power over women. Wanawake ndio wanafudwa namna ya kuishi na wanaume na sio kinyume.
na naomba pia ujue leaders a
Whats up with this generation!?
Ndio kusema mabinti wanaenda kuwazidi vijana wetu wa kiume akili?

Men are born leaders, being a man means automatically you've power over women. Wanawake ndio wanafudwa namna ya kuishi na wanaume na sio kinyume.
Leaders aren't born, they are made ...sio kila mtu alipata malezi ya kuwa kiongoz kuna watu wanatsek kwny ndoa zao coz hawan akil na elimu ya kuongoza... wao daima wanaongzwa

ss wanamke akipat elimu ya kuish na wanaume wkt wanaume hana elim ya kuongz apa mwanaume anaendshwa km gari bovu
 
Mwanadamu hubadilishwa na
1. Wazazi wake
Hapa katika kukua kwake

2. Mungu
Hapa kama atajaza imani moyoni mwake

3. Circumstances (jambo la hofu)
Hapa kama akakumbwa na tatizo linaloweza kumtisha sana mfano kutishia uhai wake.
lakin kupewa elimu pia kunawez kumbadilisha binadamu
 
Hakuna zai
lakin kupewa elimu pia kunawez kumbadilisha binadamu
Mwanamke hutulia mpaka pale atakapoona hana cha kupoteza
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…