Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Tutashuhudia maigizo mengi sana wakati huu.
Then si kila muisrael ni myahudi.
Jibu mubashara...Hata wewe pengine huna uhusiano na tanzania ya kale.
Watanzania tuacheni upuuzi kama huu hauna msaada yoyote kwetu. Nambie kabila la Tanzania ambao DNA yao inaonyesha ni Watanzania wa kale.
Wangoni, Wamakonde, Wahaya, wamasai n.k.
Mbona mnapenda kushadadiya ya watu wakati yenu yanawashinda?
Tuonyeshe ushahidi wa DNA unaonyesha wewe ni Mtanzania wa kale?
Wako huko Manyara na Singida wapo busy kuwinda, kurina asali na kutafuta matunda hawana habari wahamiajiKwa sasa wako wapi na kwanini na wao hawadai sisi wengine tuondoke tuwaachie nchi yao?
Una ushahidi gani kuwa huyo jamaa siyo mzushi tu anafanya propaganda ya kijinga hapo? Inawezekana anaongea uongo mtupu. Epuka kudandia mambo yasiyo na ushahidi.Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.
Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.
Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!
Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:
View attachment 2877285
Huyo watamuua sasahiv! Wayahudi wa kweli weusi, wilioko Ethiopia na maeneo mengine wale wa pale Tel Aviv ni matapeli uzao wa Bulan Khazar toka Khazar.Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.
Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.
Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!
Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:
View attachment 2877285
Ukute kuna mazingira fulani DNA hiyo hiyo unaikataa!Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.
Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.
Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!
Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:
View attachment 2877285
Wapo, mfano mzuri ni wale Wayahudi waliotoka nchi za Yemen, Iraki, iran, Ethiopia etc
Pia wapo Wayahudi wa maeneo hayo walioconvert na kuwa Wakiristo na wengine kuwa Waislamu. Hao wana damu ya Yakobo nyingi zaidi kuliko wale Wayahudi feki ambao asili yao ni Khazaria.
Wapo watu ambao DNA yao inawalink na Israel ya kale,mfano hapa Afrika wapo watu wa kabila la Lemba etc
Safi sana. Sasa tufanye sherehe.... Mpaka waizrael wote wagundue wao siyo original. Hii itatusaidia sana sisi. Uongo?Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.