Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.
Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.
Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.
Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!
Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:
View attachment 2877285