Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Kazi hizi humu sidhani kama unaweza kupata mtu. Hizi kazi zinataka aina flani hivi ya watu. Si kwa ubaya ila. Kila la heri.
 
Aisee😀
 
Siku zote ukitaka kumchukulia mtu kama mtumwa,utahangaika. Mfano wa msaidizi wa kazi za ndani. Ukimnunulia nguo unaponunulia wanao,lotion au mahitaji yake mara moja moja, atakaa. Lakini yeye awe ndo wa kula viporo,TV yako haruhusiwi kuangalia, mara nyumba kubwa marufuku kukanyaga kama si wakati wa usafi,kuna mimama mingine wakipika nyama ndo inaingia jikoni yenyewe,na haimpi nyama hiyo,atakaa?
Sasa na wewe,ulitakiwa ukae nao kabla ya kuwapeleka,uwasikilize wanatakaje, na wewe uwambie umejipangaje,muelewane. Ikitokea umeenda, wachukulie hata makande, hata kilo ya nyama wape. Sasa ukisema mi nimepanga kuwa nawapa laki haizidi,umesahau na umri wao?
Kazi kama hizo wanafaa watu wenye familia,waulize wanaweza kufanya nini wakiwepo kujipatia chochote na wao,kama wanalima,sapoti hata mbegu. Uone kama hutofurahia uwepo wao. Ubaili ukizidi,nomaa
 
Ukiona Mtu Amefanikiwa Kapambana Kila Sehemu Vikwazo
Upewe Chakula Chekwaa Na Nyumba Halafu Kazi Hutaki Kufanya
Lazima Mambo Ya Chande Yatokee
 
Umepata?
 
Naomba hiyo nafasi kaka 0655989284
 
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…